Mwenyekiti umeshindwa kujibu swali ukalipasisha kijijini? Ingekuwa mimi, ningewaza:Kawia ufike!Taratibu ndiyo mwendo.Haraka haraka haina baraka.Hamna hamna, ndimo mliwamo.Kunguru mwoga hukimbiza bawa lake.
1 comments:
Mwenyekiti umeshindwa kujibu swali ukalipasisha kijijini? Ingekuwa mimi, ningewaza:
Kawia ufike!
Taratibu ndiyo mwendo.
Haraka haraka haina baraka.
Hamna hamna, ndimo mliwamo.
Kunguru mwoga hukimbiza bawa lake.
Post a Comment