Subscribe:

Wednesday, March 25, 2009

Ziara Ya Ali Kiba Ufaransa Yafana



MABAUNSA ILIBIDI WAFANYE KAZI YA ZIADA KUWAZUIA MASHABIKI KUMVAMIA ALI KIBA JUKWAANI KAMA MNAVYOONA KWENYE PICHA HUKU WAKINA DADA KELELE HUKU WAKIITA ''ALI KIBA MARRY ME!!!''


KATIKA MASHABIKI WALIOKUWEPO MMOJA WAPO ALIKUWA MCHEZAJI MAARUFU WA TIMU YA DARAJA LA KWANZA NCHINI UFARANSA AUXIRRE-NANTE KUTOKA KENYA AITWAYE DENNIS OLIECH ANAYEONEKANA KATIKATI YA MASHABIKI AKIWA AMEVAA KOFIA NYEUPE.


BAADA YA HAPO SIKU YA JUMAPILI ALI KIBA PAMOJA NA TIMU YAKE WALIANDALIWA CHAKULA CHA USIKU NA WENYEJI WAO WA UFARANSA KAMA INAVYOONEKANA KWENYE PICHA PIA KILIKUWA NA WANAMAMZIKI WA KIKE KUTOKA UGANDA ANAEISHI UHOLANZI ANEYEPIGA MTINDO WA RAGGEA TONE.
MDAU, UFARANSA
Reactions::

1 comments:

Anonymous said...

mbona hii picha inaonyesha nyuma ya washabiki ndipo ulipoishia ukumbi!!!!hii hilikuwa paty ya nyumbani ?! inaonekana wazi kabisa
onyesho hili haalikuandiliwa bali kama kawaida ya wabangaizaji wanajiita poromota!wameliweka onyesho hili chumbani au katika stoo ya bia

Post a Comment