Tanzania wani (one)mabo mengi ya ajabu, huyo samaki (taa)akikaushwa vipi apelekwe makumbusho kumuona shs 150.00 watoka bara hawatatamani kumuona. Je sabasaba akipelekwa pale !"Julias Kambarage" itakuaje.
Mbona huyo ni Taa mdogo, cha mtoto huyo mkia wa Taa unauma huo, hebu muwe mnaenda Fery jamani kuangalia kuna viumbe wa kila aina wanavuliwa. Huyo Taa huyooo, analiwa na nyama yake utaikuta imekatwa vipande vipande huko soko la samaki au sokoni Tandika au imekaushwa kwenye moto, mchuzi huo!
7 comments:
Kaka Maggid hiyo ndiyo nini tena? Mbona unatutisha? "Heri iliwe na Simba...siyo samaki Jamani!" Ha haaa
ANALYST
Ni nini hiki? mbona mwili unanisisimka? Nguruwe si nguruwe. Bali balaa. Wataalam tuelezeni ni samaki au mnyama? analiwa?
huyu ni samaki au nguruwe jamani
Huyo Taa! yakhe
Tanzania wani (one)mabo mengi ya ajabu, huyo samaki (taa)akikaushwa vipi apelekwe makumbusho kumuona shs 150.00 watoka bara hawatatamani kumuona. Je sabasaba akipelekwa pale !"Julias Kambarage" itakuaje.
Watanzania tutalia sana.
Huyo taa ati au kwa kihehe tunaita 'stingley'

Post a Comment