Subscribe:

Sunday, April 26, 2009

Chemsha Bongo Ya Zain



Mtazamaji wa televisheni, Rachel Maseke akionyesha simu aliyokabidhiwa na Ofisa Uhusiano wa Zain Tanzania, Celine Njuju (kushoto), Dar es Salaam baada ya kuibuka mshindi kwa kujibu kwa ufasaha maswali katika mashindano ya chemsha bongo ya Zain Africa Challenge (ZAC) yanayoendelea. Kulia ni Meneja Masoko wa Zain, Ellen Lupili.
Reactions::

1 comments:

Anonymous said...

huyo wa katikati mbona anafanana na bosi wako wa forum said vile sijui nimepatia au?halafu ulisema bado yupoyupo eti e! asante mjengwa

Post a Comment