Subscribe:

Thursday, April 30, 2009

Inapendeza: Rufiji Delta

Reactions::

2 comments:

Anonymous said...

Waaaaaaaaaw!!
Tumezi miss sana hizi. Utaenda lini tena Ziwa Nyasa? Nimeambiwa Mikoa ya Mbeya na Morogoro ni kati ya mikoa isiyofahamika kabisa nchini kwa maana ya vivutio vya utalii na mazingira ya kupendeza. Je ni kweli? Kuna mwanakijiji yeyote anajua visivyo vumbuliwa bado?

Tafadhai iruhusu kamera yako kutuelimisha ukiwa njiani kutoka Iringa kwenda Kinondoni Biafra/bagamoyo :-) chepuka kidogo uingie huko ndani ndani...

Kazi njema bro
Analyst

Anonymous said...

Safi sana,je hapo mnasemaje kwa kilimo cha umwagiliaje? hivi kweli Tanzania masikini kiivyo? nani wa kuendeleza mali zetu? au wazungu?

Post a Comment