Unazungumzia kivuko lakini naona picture umetunyima.
weka picha zaidi wadau wa ughaibuni waone kivuko kipya ambao hawakukiwahi,hizo picha bado hazionyeshi kikoje hako kavuko kapya
Hapo watu washajizolea kura uchaguzi ujao,,badala ya kujenga daraja wanaweka vimeo,,sijui kodi zinafanya kazi gani
bravo jk uloahidi kwa kigamboni umefanya.najua 2010 ukienda kuomba kura utaahidi daraja maana ndo litaanza kujengwa that time kwa mujibu wa nssf.
Kodi nikwa ajili ya \Uchaguzi wa mwakani.Huenda hata DECI ni makusanyo ya kuwanunulia kanga na kofia na kuwapikia pilau. Kila baada ya miaka mitano ukila pilau mara moja kuna MABYA GANI!!
5 comments:
Unazungumzia kivuko lakini naona picture umetunyima.
weka picha zaidi wadau wa ughaibuni waone kivuko kipya ambao hawakukiwahi,hizo picha bado hazionyeshi kikoje hako kavuko kapya
Hapo watu washajizolea kura uchaguzi ujao,,badala ya kujenga daraja wanaweka vimeo,,sijui kodi zinafanya kazi gani
bravo jk uloahidi kwa kigamboni umefanya.najua 2010 ukienda kuomba kura utaahidi daraja maana ndo litaanza kujengwa that time kwa mujibu wa nssf.
Kodi nikwa ajili ya \Uchaguzi wa mwakani.
Huenda hata DECI ni makusanyo ya kuwanunulia kanga na kofia na kuwapikia pilau. Kila baada ya miaka mitano ukila pilau mara moja kuna MABYA GANI!!
Post a Comment