Makala ya utangulizi wa kona hii ilikuomba msomaji kutuma maoni yako kuhusu kuwepo kwa mali za thamani za Wajerumani katika misitu ya iliyokuwa Tanganyika. Inafurahisha kuona idadi ya watu walioguswa na mada hii.
Ni wazi, kuwa minon’gono, au niite uvumi, huu haukuanza juzi. Inawezekana ulianza mara baada ya Wajerumani kufunga virago vyao na kuwapisha ‘binamu’ zao Waingereza kuitawala Tanganyika kwa niaba ya Umoja wa Mataifa. Ninaendelea kupokea maoni yako. Leo tutachambua maoni ya baadhi ya Wajerumani. Soma zaidi: http://www.kwanzajamii.com




Tanzanian Shilling Converter
2 comments:
Anawaasa: Fanyeni mazoezi mpunguze vitambi!
Haya ni mambo ya mwaka 47
Post a Comment