Subscribe:

Saturday, April 25, 2009

MSIBA: Martha Sinkara



Familia ya Nyingo “Lingalangala” wa Houston, Texas inapenda kuwajulisha ndugu jamaa na marafiki popote pale duniani kuwa Mama yetu Mpendwa Martha Sinkara amefariki dunia nyumbani kwake Ludewa Iringa tarehe 22/4/2009. Taratibu zote za mazishi zimefanyika huko huko Ludewa tarehe 24/4/2009. Kwa wote wenye mapenzi mema tunaomba sala zenu ili Mwenyezi Mungu amjalie neema katika safari yake hii ya mwisho.Bwana ametoa na Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe milele. Amina
Reactions::

3 comments:

MapigoSaba said...

hakuna anayependa kujulisha au kujulishwa habari za kifo, ungesema ....inasikitika kuwajulisha...anyway poleni!

DUNDA said...

poleni ndugu wafiwa ndio kazi ya mungu hiyo
Dunda

Anonymous said...

Poleni na msiba ndugu wafiwa

Post a Comment