Anony wa kwanza, Mjengwa keshaona kwa babu nguvu zinaisha sasa anahamia huko kwa bibi Kalembwaniiiiiiiii? Mambo safi maana akitoka tu Iringa huyuoo. LOL
Mdau wa pili kweli umeniunga mkono naona Mwnyekiti kuna mengi lakini wabongo tunasema yataibuka baadaye ya ukweli. Nilishangazwa na mabadiliko ya ghafla maana nilitegemea kupata habari za mwisho katika msafara wake. Bila ya kumalizikia Bagamoyo kutakuwa na kasoro wacha nimpe taarfifa mshikaji "Marknigga" wa Australia kama mambo ya msafara yamebadilika.
Labda Mwenyekiti kapigwa kibuti si unajua mambo ya Pwani! Aah mtoto akikuchoka anakwambia tartiiibu " aku babu wee unataka mpaka tufanane sura!" Miaka miwili mitatu inatosha sio mpaka mkae miaka 10, 15 mpaka sura zifanane!
Haya twambie Mwenyekiti SAMMA unaihamishia wapi! Pamoja na madiko diko ya Bagamoyo huwezi kuacha kwenda hivi hivi tu lazima utakua umepigwa kibuti mwayangu! Pole sana kibuti kinauma!! Wee acha tuu!
4 comments:
Mwenyekiti unatuchanganya kimawazo
enzi zetu za kale basi la "UDA" huwa halibadilishi mipangilio ya usafiri ghafla,hayo hufanyika sasa na vibabaji.
Huu msafara wako bila ya kumalizikia Bagamoyo itakuwa si kitu cha kawaida kufanya hivyo utawakosesha "raha" wengi.
Sasa tutakuwa hatuelewi huu "msimu wa mvua" umeleta hasara au mavuno mazuri ya matunda na mboga mboga katika soko la Bagamoyo.
Denmark
Anony wa kwanza,
Mjengwa keshaona kwa babu nguvu zinaisha sasa anahamia huko kwa bibi Kalembwaniiiiiiiii? Mambo safi maana akitoka tu Iringa huyuoo. LOL
Mdau wa pili kweli umeniunga mkono naona Mwnyekiti kuna mengi lakini wabongo tunasema yataibuka baadaye
ya ukweli.
Nilishangazwa na mabadiliko ya ghafla maana nilitegemea kupata habari za mwisho katika msafara wake.
Bila ya kumalizikia Bagamoyo kutakuwa na kasoro wacha nimpe taarfifa mshikaji "Marknigga" wa Australia kama mambo ya msafara yamebadilika.
mickey@mail-online.dk
Denmark
Majengo sendi tena, Majengo sendi tuna kuna ..............!!!!
Bagamoyo sendi tena, Bagamoyo sendi tena, kuna .........!!!
Moyo wangu waniuma sana.......!!!!
Utajaza mwenyewe msomaji!
Labda Mwenyekiti kapigwa kibuti si unajua mambo ya Pwani! Aah mtoto akikuchoka anakwambia tartiiibu " aku babu wee unataka mpaka tufanane sura!" Miaka miwili mitatu inatosha sio mpaka mkae miaka 10, 15 mpaka sura zifanane!
Haya twambie Mwenyekiti SAMMA unaihamishia wapi! Pamoja na madiko diko ya Bagamoyo huwezi kuacha kwenda hivi hivi tu lazima utakua umepigwa kibuti mwayangu! Pole sana kibuti kinauma!! Wee acha tuu!
Subira
Post a Comment