Subscribe:

Sunday, April 19, 2009

Nimerudi Iringa Usiku Huu

Nikitokea Dar kupitia Bagamoyo, Miembe Saba, Mlandizi na kuendelea.
Poleni kwa mimi kushindwa kuwaingizia picha kwa zaidi ya saa 24. Ni kutokana na sababu za kiufundi. Natumaini kesho hali itarejea ya kawaida.

Kwa sasa nimefurahi kurudi Iringa yetu ya baridi ya wastani. Si ya joto kama la Dar na Bagamoyo.

Na kazi zinaendelea bila joto wala mbu!
Reactions::

2 comments:

Anonymous said...

Kaka hebu tuelezane vizuri,kwa nini kila siku wakati unatoka dar kuja iringa lazima upite Bagamoyo?Huwa unapita kuzimua pale mlingotini?au?.....

mdau.

Anonymous said...

Unajitahidi kutujulisha kila unaposafiri safi sana!!

Post a Comment