ardhi ya mikumi ni nzuri sana. mbona kila mahali ni majani tu. inaonekana watu wa huko hawapendi kulima. hapo ungewaleta wakikuyu wa kenya wangeilisha tanzania nzima. hao watu ni wachapa kazi sana.
Hatuna viongozi wahamasishaji kwa vitendo, wala wabunifu katika kilimo.
kidooooogo naona Pinda anataka kujaribu.
Ukisema Tractor, lazima ufikiri mabwana na bibi shamba (wataalamu wa kilimo bila kusahau soko la uhakika la kuuzia mazao.
Jana yupo bwana mmoja ametoa matunda (passion) TZ kupeleka nchi jirani!!!
Bado viongozi wengi sana ni wazito/wavivu au hawaelewi kabisa kubuni miradi migumu na ya muda mrefu kwa manufaa ya wananchi hasa wa kada ya chini. Wengi wanadhani misaada ndio suluhisho la kutua umasikini. si kweli.
Wajenge kwanza wananchi waelewe a,b,c ya shughuli wazipendazo ndipo uwape mitaji au hiyo misaada ambayao mimi SIIPENDI KABISA tangu nikiwa na miaka 23.
2 comments:

Post a Comment