Subscribe:

Wednesday, April 29, 2009

Untitled


Kinondoni Biafra.
Reactions::

9 comments:

Anonymous said...

Mjengwa umeanza tena! Umeona kampeni ya Saidia Mjengwa Aoe imesinzia kwahiyo unaanza tena. Sawa.
Anyway hiki kifaa naweza kupata contact zake? Hebu tuwasiliane.

Anonymous said...

ndg mjengwa ni busara unapo weka picha ya mtu na hasa mabinti wenye mvuto ukafanya pia na jitihadi mahsusi ya kutujuza kuwa ni hakina nani na sisi wengine ni makapera na tunatafuta wenza wa maisha unaweza ukawa umesaidia/umetoa mchango mkubwa kwy hilo!
ebu tujuze huyu dada mwenye sura ya kupendeza ni nani,anafanya nini,na ukitaka kuwasiliana nae kwa ajili ya kunywa chai/kahawa/juice ufanye jitihada gani?

Mkware said...

Bwana Majidi naweza kupata kontakti zake huyo demu?

Anonymous said...

Mjengwa naweza nikaleta posa maana uzalendo umenishinda kabisa hicho kifaa kha! mwe! au ndo shemeji?
Mdau Fidel

Anonymous said...

My My
I was trying to work out what made me so tachycardic when I saw this photo, now I know
Its in the eyes
Hayo majicho
Wakatabahu

Anonymous said...

Na kweli hii kampeni ya SAMMA kama imesinzia kidogo, lakini wadau tuamke mwenyeki anahitaji msaada

Anonymous said...

Naa kweli huyu mjengwa kashafika miaka 40 kwanini hajaoa? Waafrika hawafiki miaka 40 bila kuoa, isipokuwa panapokuwa na matatizo ya ndani. Mwenyekiti kama hujaoa kwanini hujaoa? na kama una matatizo ya ndani sema, dawa zipo utibiwe.

Anonymous said...

Wivu sina roho inauma, dada yetu kapendeza hakuna mkorogo wa manwele ya ajabu ajabu safi sana.

Anonymous said...

Ngoja tuzikusanye tuje kuoa

Post a Comment