Subscribe:

Monday, April 27, 2009

Viongozi Na Wanachama


Wa TLP wakiwa nje ya Ukumbi wa Manispaa ,Morogoro kwenye shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Phares Kabuye ( aliyekuwa mbunge wa zamani Biharamulo Magharibi). Kabuye alifariki katika ajali ya basi.
Reactions::

1 comments:

Anonymous said...

Jamani, Khanga,tshirt na Kofia kwenye mambo ya siasa zimetufikisha pabaya. Najua hapo ni msibani. Lakini khanga...khanga jamani

Post a Comment