Subscribe:

Friday, April 17, 2009

Watamu, Panya Wa Masasi!


Mtwara
Reactions::

9 comments:

Anonymous said...

Heee!!!! makubwa kumbe sio hadithi ni kweli chinga wanakula panya

Anonymous said...

Yaweza kuwa ni wale panya buku ambao hata wapenda kande wanakula!
BAHILI BINGWA

Anonymous said...

watu ni wavivu hata kufuga kuku wa kienyeji, bata, njiwa au sungura wapate kitoweo cha maana! hivi Mjengwa mnawafunza mambo gani wananchi kwenye vyuo vyenu?

Anonymous said...

wana msemo wao wenyewe eti baa kula mbaazi panya wote hao baa!!!!

Anonymous said...

kwani kula panya kuna noma gani? au kwa sababu wanaliwa na chinga? wazungu wakianza kula panya na nyinyi pia mtaanza kula, lakini kwa sababu wanaliwa na chinga mnaona kinyaa. pumbaf

Anonymous said...

hao watu sijui niseme nini. mimi sipendi ukabila. nilipokua huko nyumbani kwetu mkoa mmoja wa kaskazini mwa tanzania nilikua nina sikia eti hao watu hula binadamu wenzio. nyama ingine wanayoipenda ni nyoka ambao eti huwaita samaki nchanga. tabia za wamakonde, wamakua na watu wengine wa kusini ni za kutisha sana. ptu mbaka.

Anonymous said...

KWA KWELI HAWA JAMAA BADO WAKO KWENYE STONE AGE. WANA HITAJI KUSTARABISHWA. SIJUI KAMA HAWA JAMAA WANALIMA. NINAFIKIRI WANAPATA CHAKULA TOKA MBUGANI KAMA WANYAMA.

Anonymous said...

Food security
Kwa wale waliosoma somo hilo wataelewa kitu kinachoitwa food freedom. Kama panya hawawadhuru na utamaduni wao wa chakula hauna shida na hilo hatuna budi kuheshimu freedom yao katika kuchagua chakula. Wewe usiependa kula kile utakacho. Watanzania tunaaminika kwamba ni watu tunaopendana,hii kasumba ya kudharau chakula na makabila mengine itatupeleka pabaya. Sio uungwana na sio utanzania wetu kudharau chakula cha watanzania wenzetu. Kwani tuna chakula cha kitaifa hapa kwetu? Kuna kabila ambalo chakula chao ndio standard za makabila yote nchini? Mbona wenzetu kanda ya ziwa(bukoba) wanakula sana senene na sisi wengine hatuwasemi hovyo? mbona wakristu wanakula nguruwe na hatuwasemi ovyo? Tusijitie kudharau vyakula vya watu wakati chimbuko lenu wengine ni hayo hayo. Siajabu kijijini kwenu wanakula konokono,kaa,kima,chamvi etc lakini sisi wamakabila mengine tunawaheshimu.
Na wewe mpiga picha tueleze umekusudia kuwazalilisha watu wa kusini au kuelezea food freedom?

Anonymous said...

tabia za hao watu zinatia kinyaa. mpiga picha hakuwazalilisha hata kidogo. kama hayo majitu yangelikua hayali nyama za ajabu ungesema amewazalilisha. asante mungu ninatoka mkoa wa kilimanjaro. i hope wameacha kula watu. tabia kama hizi ndizo huanzisha magonjwa ya ajabu kama ebola.

Post a Comment