Shimo lililosababisha ajali ya Mwakyembe. Picha ya juu Dr. Mwakyembe akiwasili Dar kwa matibabu zaidi. Ajali hiyo ilitokea leo asubuhi enemo la Ihemi kilomita zipatazo 50 kabla ya kuingia Iringa kutokea Mbeya. Picha na Francis Godwin, Iringa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Tanzanian Shilling Converter
3 comments:
Bahada ya ajari,nadhani muandisi wa mkoa atafanya kazi yake.
Kwa kweli tunamwombe mh.Mwakyembe apone haraka.
Kwa uzoefu wangu wa ma-cruiser,hili halikua shimo la kuangusha cruiser.Well,mipango ya Mungu na tumwachie basi yeye mwenyewe.
mdau.
KITU CHA WAZI KABISA NI UZEMBE WA DEREVA NA UBOVO WA BARABARA. LAKINI SABABU MWAKYEMBE NI KIONGOZI WA SERIKALI, UTASIKIA MARA KAROGWA. AKIFA NDUGU YAKO ASIYEJULIKANA KATIKA AJALI KAMA HIYO YA MBUNGE, WANASEMA NI BAHATI MBAYA!!!
KAZI KWELIKWELI. ILA BARABARA YA DAR-MORO-IRINGA-MBEYA-TUNDUMA-KUUNGANISHA NA ZAMBIA NI MUHIMU IPANULIWE NA ITENGENEZWE UPYA. SIJUI KWANINI WABUNGE HATA HAWAONI HILO????
Post a Comment