Ukisikia shughuli pevu ndio kama hiyo pichani. Leo nilipita mitaa ya kati Temeke nikakutana na mechi hiyo ya mchangani. Katika mechi hiyo hiyo refa alisimama mbali na kubaki akitabasamu tu pale madaruga yalipokuwa yakirushwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Tanzanian Shilling Converter
1 comments:
Kweli bwana mdogo amuache kwa maana mwili nyumba huyo kaka mjengwa inaelekea ni mazoezi hayo asante kwa kutukumbusha temeke na sikosei hapo ni nyuma ya shule
Mdau Denmark
Post a Comment