
Kwenye moja ya mashairi ya Marcelino Dos Santos ( Pichani) anasema; " We Must Plant". Hazungumzii kupanda kama ilivyokuwa kwa ' matapeli' wa DECI, bali kupanda fikra za kimapinduzi miongoni mwa wanajamii. Miaka miwili iliyopita nilipata bahati ya kukutana na kuongea na Marcelino Dos Santos jijini Nairobi, Kenya. Marcelino Dos Santos ni 'Kingunge' wa Msumbiji aliyeamua kubaki na Ujamaa. Na hakika jamaa ni ' kichwa' kweli kweli!




Tanzanian Shilling Converter
3 comments:
mjengwa unaposema kama "matapeli" wa deci una maana gani? jaribu kupunguza ukali.
Mwenyekiti nakukubali kwa kujichanganya. Jana tulikuwa kwenye Daladala moja ( Kariakoo-Mwenge)kwenye saa kumi kumi hivi. Ulipandia Kinondoni Biafra na kushukia Sayansi. Kisha ukaelekea kwa miguu Barabara ya Shekilango, ulibeba mkoba mweusi.
Mwenyekiti wetu mbahili jamani.
Hapo atakatisha kwa miguu hadi Sinza Kijiweni. Hata Bajaj Mwenyekiti?! Changia pato la mlalahoi. Na huo mkoba mweusi kwa vyovyote amepewa na mganga wake kule Mlingotini Bagamoyo.
Post a Comment