Leo jioni nilipata bahati ya kuhudhuria workshop ya kaka Freddy kuhusu masuala mbali mbali ya kimaisha. Kulikuwapo na vijana wapato 13.Alikuwapo pia Mussa Twaha Kitonge, huyu ni class-mate wangu pale Tambaza enzi hizo. Nilifurahi sana kukutana na kaka Freddy na ndugu yangu Mussa Twaha Kitonge, na zaidi kuona vijana waliohamasika kutaka kujifunza. Tulifanya mambo mengi pamoja tukiwa na mkufunzi Freddy Macha, nitayasimulia siku nyingine. Tuliondoka pale Nyumba ya Sanaa kunako saa tatu usiku.
Monday, May 25, 2009
Kaka Freddy Na Mie

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Tanzanian Shilling Converter
2 comments:
Mwenyekiti unapendeza na batiki lako refu kama kanzu. Lakini unashika nini pale?
Heee we anon wa hapo juu,Unachambua picha kweli kweli, poa, ndio viziri lazima ucheki kwanza kila kitu kwenye picha na kutafakali, manake mpaka umetambua Mwenyekiti anashika nini pale. duu kali!!!!!
Post a Comment