Subscribe:

Wednesday, May 20, 2009

Libeneke La Ikulu!

katika upekuzi nimekutana na blogu ya ikulu
naomba wajulishwe wana jamii
http://mawasilianoikulu.blogspot.com/

Nina wito mmoja:
Je wataalam wa computer hawawezi kutusaidia kutengeneza libeneke la mkuu wetu wa nchi?
kwani hilo naona linafanana kabisa na la kwako mkuu , na mbaya zaidi lina hostiwa (hosting) na google bure!!
si vizuri kwa usalama wa taarifa za mkuu wetu.
mbaya zaidi itakuwa siku wakiamua google kukata service (kama walivyofanya zile website zilizopokuwa hosted bure na yahoo geocities)hakuna mtu wa kuwauliza kwani ni bure.
tujifunze toka kwenye tovuti za ikulu ya kenya,uganda na rwanda

asante bro

Jina:kapuni
Reactions::

1 comments:

Anonymous said...

USIWE NA HOFU KWANI SITE ZOTE ZA SERIKALI YETU HUTELEKEZWA, IKSHA ANZISHWA BASI HAPO NDIPO MWISHO WAKE USITEGEMEE KUPATA LOLOTE JIPYA AU LA MAANA KUTOKA KWENYE HIZO SITE.

Post a Comment