Itafakari picha hii iliyopigwa kwenye moja ya vijiji mkoani Lindi. Kama una hoja changia katika muktadha wa kimaendeleo. ( Asante ya picha Dr. Louis Kasuga)
Reactions::
6
comments:
Anonymous
said...
HII NI UTAWALA MBOVU WA SERIKALI, MIMI SIKU ZOTE NAPINGA KUWA ETI UMASKINI UNATOKANA KAMA HUNA HELA , HELA (UTAJIRI ) HAIJI KWANZA NI JUHUDI,LEO SERIKALI INATEGEMEA KODI ZA BIDHAA ZA KUTOKA NJE NI AIBU KUBWA SANA , NA INAWADANGANYA WANACHI KUWA KILIMO NDIO MSINGI WA MAISHA NA KINAWAELETEA MAENDELEO UONGO MKUBWA NI UNAFIKI. SERIKALI YOYE INAJENGWA MJINI , UKIOLIZA MJINI KUNA NINI WAO WANA JIBU NDIO KUNA MAENDELEO YA MAKUSANYO YA PESA ,UKIULIZA HAO WANAONUNUWA BIDHAA AU MAHITAJI NI KINANI UTAAMBIWA NI WATU WENGI WANAKAA VIJIJINI KWA HIO NI WATU WA VIJIJINI NDIO WANUNUZI WENGI SASA KAMA KILIMO NDIO MSINGI WA MAENDELEO NA WANUNUZI WENGI WA BIDHAA INAOTOKANA NA WATU WENGI WA VIJIJINI ,KWA NINI USIPELEKE MAENDELEO KULE, KUNA KESHO WATAHAMA WOTE VIJINI WAJE MJINI KWENYE MAENDELEO SIJUI ITAKUWAJE ????/ CCM YOTE IPO VIJIJINI MAENDELEO YAPO MJINI SERIKALI NDIO YA CCM KAZI NDIO HIO UTAWALA NDIO WANAOWEKA, NDIO UNA UWAFANYA WAWE HIVYO
Oe wao wazazi wa watoto hawa. Taabu wanazopata watoto hawa ni matunda ya ujuha wa wazazi wao. Hawa wazazi kila wakipewa pombe, kanga, tshirt na sh mia tano basi wanatoa kura zao. Watoto kama hawa hawawezi kuwana akili ya kufanya vizuri darasani kwa sababu mazingira wanayosomea ni magumu mno.
landcruiser za wabunge na mawaziri, zisingenunuliwa wananchi wote wangepata hata vibomba vya maji kila kijiji bongo, lakini viongozi hawawezi kujitolea kuendesha hyundai elantra/accent, wamechaguliwa kutumikia wananchi, samahani wamenunua kura za wananchi ili waendeleze ufisadi, its a good investment, halafu jamaa wa matawi ya ccm uingereza nao watarudi kuendeleza ufisadi cha kilele kingine, jamani tunahitaji mapinduzi ya nguvu bongo!!!!
Picha nzuri sana. Haya mandhari ya ardhi yenye rutuba nzuri na uoto wa kuvutia. utajiri tumeukalia kwa kutokuwa na sera nzuri. vijana wanakimbilia mjini kufanya umachinga na kukabana na wanamgambo wa jiji. kumbe kama tungekuwa na dira na sera nzuri za kuboresha maisha ya vijijini na kuwawezesha vijana, hiyo ardhi ingeotesha nyanya na vitunguu hadi tungesafirisha london. umaskini wetu si kukosa raslimali bali jinsi ya kutumia raslimali akili.
Miaka 48 baada ya uhuru bado kuna watoto wanaishi maisha haya! Article 24 of Unicef Children's Rights and Responsiblilities says " Children have the right to good quality health care, to clean water, nutritious food, and a clean environment, so that they will stay healthy. Rich countries should help poorer countries to achieve this".
Kuna hatua zozote zilizochukuliwa na serikali kuhakikisha hili linatekelezwa? Hii picha ni kielelezo kizuri sana.
6 comments:

Kuchimba kisima akizidi SH3,000,0000. MAFISADI WASISIEM wanajilimbikizia mabilion ya SH

Post a Comment