Anon Date: Mon Jun 01, 12:27:00 PM EAT umenifurahisha kwa kweli. Ye Mdada akiporomoka kwenye hicho kiti akalalia pua na manundu yamtoke usoni kama si kupoteza meno kadhaa, hapo haituhusu, yeye alimradi tu asivunje viti alivyoparamia. Asiharibu biashara bure. ha ha haa!
2 comments:
Mdada, ukivunja viti vya watu je?
Anon Date: Mon Jun 01, 12:27:00 PM EAT
umenifurahisha kwa kweli.
Ye Mdada akiporomoka kwenye hicho kiti akalalia pua na manundu yamtoke usoni kama si kupoteza meno kadhaa, hapo haituhusu, yeye alimradi tu asivunje viti alivyoparamia. Asiharibu biashara bure. ha ha haa!
Post a Comment