
Kaka Hizo ni baadhi ya picha za matukio katika sherehe ya ufunguzi wa jumuiya ya mashabiki wa Manu U hapa TZ. Iliyofanyika tare 27 May '09,Regency Park Hotel na kuhudhuriwa na Balozi wa Uingereza akiwa kama mgeni rasmi kwaajili ya shughuli hiyo.
Asante.
Maingu.




Tanzanian Shilling Converter
7 comments:
Hivi, huu ni ukoloni mambo leo? Au ni maisha yamebadilika?
Tafadhali naomba contact za Jumuia ya wana-Manchester Utd Tanzania ili niweze kujiunga!
Haa! Poleni sana Wana-ManU! kipigo cha jana kilinifurahisha sana hasa ukizingatia timu yangu ya New Castle United ndio imeshuka daraja. Mwakani ManU. itajumuika na sisi daraja la kwanza. Karibuni wana-ManU.
I don’t like to sound anti-Mancs or anti-English football but with the current trend, I think someone has to stand up and say something if even it'll hurt few individuals.
I quietly understand the fanaticism of this game and I’m aware of role of the football in today’s societies. Apart from entertaining, football is a career and money generator. I don’t like to speculate, but assume without this game what could have been the future of the likes of Joe Burton (Newcastle), Wyne Rooney (Man United) or Brazilian Edimundo 'the animal'?
With all our local teams, one could ask this; 'What was the move to open Man United 'branch' in Tanzania?'. And to make the issue even more debatable; 'What was the point of having ('her excellence') UK ambassador during such occasion?'
Until somebody tells me any value added here! I believe she could use her time wisely by attending occasions that 'add value' to our already deprived lifes rather than of this type, which I’m sure it'll only benefit small group of people in our society! i.e those who can be able to buy Man United merchandise! (Man United Home Kit cost; £39.99)
What about the future of our local clubs? And when could we see branch(es) of Simba/Yanga/Mtibwa in London?
If this trend of embracing foreign clubs continues as it does, surely, it'll impede our efforts in developing our football and will mark the beginning of the end of our 'beloved' local clubs.
__________
Jua Kali
Zamani za ukoloni tulikuwa na Wazungu Weusi! Hawakutaka utamaduni wa ki-Afrika = utamaduni wa ki-shenzi!
Wenye kupenda sinema, sijui kama mmeona sinema ya Mister Johnson - juu ya m-Nigeria mmoja wakati wa u-Koloni aliydhani kuwa amefika uzunguni, kumbe hamna lolote!
Wenye kupenda kusoma vitabu vya riwaya, sijui kama mmesoma kitabu cha Mhindi mmoja wa Trinidad na Tobago, Bwana J.V. Naipaul, msomi wa Oxford, aliyehama kwenda kuishi mjini London na hapo baadaye kuhamia mashambani, kama a Country Squire. Pamoja na kufanya hivyo, bado wa-Uingereza walikuwa wanamwona ni Mhindi tu.
Kwahiyo, aliandika kitabu cha riwaya, The Enigma of Arrival...kadhani kafika kumbe fika hiyo ni wasiwasi mtupu..haipo hata kidogo.
Kaandika pia kitabu kingine juu ya wa-Hindi wa Afrika Mashariki, familia moja ilihama kutoka Afrika Mashriki kwenda Kongo (K) ikakumbana na vita ya huko.
Wengi walipenda sana kujitambulisha kama wa-Ulaya...kiasi cha kuoa wanawake wa ki-Ulaya.
Mfano mzuri Kenya ni Mshauri wa Sheria Mkuu mstaafu "Sir" (ya utani) Charles Njonjo...aliyekuwa akikataa kupanda ndege inayorushwa na rubani m-Afrika!
Wengi wa hawa watu ndio walituletea uhuru kutokana na kukerwa kwa wa-Koloni kutowakubalia kuingia Uzunguni kwa sababu ya ubaguzui wa rangi.
Wakaamua kumwondoa m-Koloni! Ndio sababu wengi baada ya kupata uhuru walivaa viatu vya m-Koloni na kumsahau malalhoi...na mambo yanaendelea hadi leo hii.
Kwahiyo, wengine pia wanakuwa si mashabiki tu wa hizo timu za mpira, bali pia ni sehemu ya ujuha huo huo wa kufikiria wamefika, penda wasipende kusoma maoni haya yangu!
Balozi kama huyo wa Uingereza anajiona au anajisikia vizuri sana!
Ni ushuhuda thabiti (a living testimony) ya Anglophonic inculcation!
KWA KWELI TIMU ZETU ZA TANZANIA ZINAHITAJI KUTUKUZWA KULIKO HIZO TIMU ZA ULAYA. SI VIBAYA KUZIPENDA HIZO TEAM ZA NJE - LAKINI HIZO TIMY ZA NJE ZICHUKULIWE KAMA KIIGIZO ILI KUZIENDELEZA TIMU ZETU. LAKINI TIMU ZETU ZA HAPA ZINAHITAJI KUENDELEZWA - LEO TIMU KAMA PAN AFRICAN, COSMO, COASTAL UNION PAMBA, MWADUI NA AFRICAN SPORTS ZINAHANGAIKA KUTAFUTA WAFADHILI NA NYENGINE ZIMEKUFA - JEE KULIKO KUFANYA GHARAMA HIZO ZA HOTEL KWA NINI HAZITUSAIDII TIMU ZETU ZA NYUMBANI. NAJUWA KILA MTU YUPO HURU LAKINI TIMU ZETU ZA NYUMBANI PIA TUZISAHAU. KWA SABABU HAPA TANZANIA NI TIMU MBILI TU ZINAZOTAZAMWA - YAANI SIMBA NA YANGA - TIMU NYENGINE NI YATIMA.
Anno wa Date: Fri May 29, 04:49:00 AM EAT,
Nakufagilia sana! Point yako ni ya nguvu sana!!
Post a Comment