Amechoka baada ya kufanya kazi gani na ni mchana? Au anafanya kazi za usiku zisizojulikana?
dalili za uvivu, yaani wabongo kwa kupenda kupumzika hata bila kufanya kazi, yaani we acha tu!
ingekuwa nchi ya amani angelalia tumbo
Yawezekana ni njaa na sio uvivu. Hakuna mwenye akili timamu anayependa kukaa bila shughuli. Na huyu anaonyesha atakuwa na familia inayomtegemea.
4 comments:

Post a Comment