Ndugu mjengwa,
Hao ni wadau waliofuzu course ya miezi 6 inayohusu Kupambana & Kuendana na mabadiliko ya hali nchi (CLIMATE CHANGE - MITIGATION AND ADAPTATION) November 2008 inayoandliwa kwa pamoja na Sida na SMHI wakishirikiana na SWECO yote ni mashirika ya Sweden. Hapo ni Juu ya sand dunes za GOBABEB ndani ya Namib desert 140Km kutoka Walvis bay Namibia. Hiyo ni baada ya kumaliza regional seminar iliyofanyikia Walvis bay na GOBABEB Reserach and Training Centre Namibia 9-11 May, 2009
Ni course nzuri kwa ndugu zangu watanzania na mnaweza kuaply kupitia website www.smhi.se ambayo huwa inafanyika kwa mwezi mmoja Norrkoping na stockholm Sweden then unafanya project kwa miezi 5 kabla ya kwenda kupresent sehemu itakayopangwa kutokana na washiriki waliokuwepo. kila mwaka inafanyika mara 2. Mabadiliko ya hali nchi yamrkua changamoto hasa kwa nchi nyingi zinazoendelea ukizingatia wanaosababisha ni mataifa yaliyoendelea kutokana na kuzalisha GHG kwa wingi.
Ni hayo tu Mzee mjengwa




Tanzanian Shilling Converter
2 comments:
Haya mambo ya mabaliko ya hali ya hewa bado yanaubishani mkubwa sana. Kuna data ambazo zinaonyesha over heat and cooling ni mambo ya kawaida duniani.
Lakini liberals across the global wamepata cha kupigia kelele.
Asante sana mdau. Mada ni nzuri mno. Ila huku specify qualifications za kujiunga nao. Au ndio mpaka tuperuzi ktk website yao?
Post a Comment