Subscribe:

Sunday, June 28, 2009

8-1: Namna Gani Bongo FC?!



Timu ya Watanzania waishio Sweden Kilimanjaro Stars iliwachabanga wenzao wa Bongo FC wa Finland kwa mabao 8-1. Ilikuwaje? Tunasubiri simulizi!
Reactions::

3 comments:

Anonymous said...

Walitangaza watatupa biliana baada ya kipigo cha nguvu wakatuletea wali wa rangi na paja moja moja la kuku plus juice za watoto, my godness hata coca cola zimewashinda, tunawapa muda wajiandae tukutane summer ijayo stokonyoko

Anonymous said...

Huyo mchangiaji baada ya kuchangia mambo ya maana anazungumzia chakula? kweli mtu mzima ovyo!!!

Anonymous said...

mambo ya maana utayapata hapa,wewe vipi. mambo ya maana piga simu 112 au 911


inaelekea hujui linaloendela kaa kimya.

Post a Comment