
“Je, ni makosa kwa mpiga picha endapo mtoto huyu ataliwa na tai?Au si kosa kwa mpiga mpicha kwani ametusaidia kufahamu ukubwa wa tatizo. Kwamba eneo hilo limekubwa na ukame na njaa kali kiasi cha mama kufa au kuondoka na kumwacha mtoto wake.”
Swali na tamko hilo hapo juu ni mojawapo ya viini muhimu vya uandishi (journalism) na usambazaji (dissemination) wa habari na mawasiliano. Yote hayo mawili yana utata wake:
Mosi, wanahabari wanakabiliwa na maswali, matatizo, na kero za ki-taaluma. Wakati mwingine huwa ni vigumu sana kuweza kueleza habari bila kuingilia kati, ingawa wataalamu wa taaluma ya habari hujigamba kuwa mwanahabari hawezi kuwa sehemu ya habari! Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com




Tanzanian Shilling Converter
6 comments:
Habari inahuzunisha mno.
serikali ya tanzania ituhakikishie amani kama inajijua one day itavuruga itutangazie tuache kuzaa.hii si dhambi?ona huyo mtoto
serikali ya tanzania ituhakikishie amani kama inajijua one day itavuruga itutangazie tuache kuzaa.hii si dhambi?ona huyo mtoto
Kwani hii ni Tanzania?
sio tanzania lakini si ni wanadamu kama sisi? kama kwao yametokea hayo kwetu itashindikana? hebu angalia huko musoma wanavyo ivuruga si ndo kidogokidogo mwishowe kama wenzetu
Picha hii ilipigwa Ethiopia, miaka kama saba iliyopita. Mpigagicha mwenye alijiua baada ya kupiga picha hii.
Post a Comment