Subscribe:

Sunday, June 21, 2009

CCM Kijiji Cha Mapinga


Bagamoyo,leo.
Reactions::

1 comments:

Mchunguzi said...

Hapo Mapinga kuna vijana wahuni sana hapo kama mwaka hivi uliopita walikuwa wanakata mashamba ya watu wanauza eti heke 1 Tsh. 50,000/= mpaka 80,000/=. Khaa!

Kumbe sio yao walikuwa matapeli ni mashamba ya watu wao walipewa walime mazao ya muda tu.

Wengi kweli walilizwa. We Bagamoyo heka iuzwe 50,000/= Khaa! We mwenyewe huwezi kujiuliza kwanza? deci inakujaga kwa sura tofauti tofauti.

Post a Comment