Saturday, January 31, 2009
Dullonet
Habari za kazi wanamtandao wenzangu. Leo tunawaletea ukweli wa sakata la Saidi Fela na wasanii wake waliojiengua na kuunda TMK Unit, pata kusikiliza mahojiano waliyoyafanya katika vituo mbalimbali vya radio, na mwisho ni pale alipoongea Producer Henricoh kuhusiana sakata hilo ni kupitia www.dullonet.com, fuatilia na sikiliza.Dullonet Daima.
Moyo Wa Iringa Mjini Huu Hapa!
Mdau Wa Milioni 5 Global Publishers!

Mama Dotnata akimkabidhi zawadi mdau Harith Nassor ambaye ni mwakilishi wa mdau wa milllioni 5 wa tovuti ya global publishers jana mchana kwenye duka la vipodozi la Arise Beauty Supply ambao ndio wadhamini wa shindano hilo. Wametoa simu mpya ya blackberry. Sherehe hizo fupi zilishuhudiwa pia na balozi wa nanihii na fulanazzz yake!
| Reactions:: |
Gangilonga Ina Maana Ya Jiwe Linalosema!
Msitu Wa Gangilonga

Ndani ya Manispaa ya Iringa kuna msitu ulio kwenye milima ya Gangilonga. Msitu huu una miti na uoto asilia. Matunda mengi asilia yanapatikana humu. Huvutia ndege na wanyama wadogo wadogo kama vile digidigi na ngedere. Uwepo wake ndani ya Manispaa, msitu huu uko hatarini kuangamizwa na mwanadamu kutokana na mahitaji ya nishati yanayopelekea watu kutamani kukata miti. Juhudi za makusudi zinatakiwa kufanyika kuhifadhi msitu huu.
| Reactions:: |
Mfuko Wa Pensheni Norway Waondoa Hisa Barrick
Mfuko wa pensheni wa Taifawaondoa hisa zake Barrick Gold ya Canada,inayomiliki migodi ya Bulyanhulu
Mfuko wa pensheni wa taifa wa Norway "The Norwegian Public Service Pension Fund/Statens pensjonskasse", umeondoa hisa zake zote toka kwenye kampuni kubwa ya migodi duniani, Barrick Gold baada ya kashfa kadhaa zinazozihusu Barrick Gold. Moja ya kashfa kubwa ni ya mauaji ya wakazi kadhaa wa Bulyanhulu yaliyafanyika miaka kadhaa iliyopita na serikali ya Tanzania kukataa kufanya uchunguzi wa mauaji hayo, pamoja na mauaji hayo kumekuwa na migogoro kadhaa baina ya wakazi wa maeneo ya karibu na migodi hiyo na wamiliki wa migodi hiyo. Barrick Gold inamiliki migodi.
Sababu nyingine ya kujitoa mfuko wa pensheni ni uchafuzi wa mazingira kwenye makampuni ya migodi inayomilikiwa na Barrick Gold, nchini Papua New Guinea.
Kujitoa kwa mfuko wa pensheni wa taifa wa Norway toka Barrick Gold ni pigo kwa kampuni hiyo na wachunguzi wa mambo wanahisi mfano wa Norway unaweza kuigwa na nchi zingine, hususani za Skandinavia.
Chanzo cha habari: Norwegian TV 2
Zaidi kuhusu Barrick Gold kwenye vyombo vya habari:
http://www.dominionpaper.ca/articles/2385
http://www.corpwatch.org/article.php?id=15265
http://intercontinentalcry.org/uprising-against-barrick-gold-in-tanzania/
http://www.norwatch.no/20080408558/oljefondet/gruveindustri/barrick-gold-i-enda-en-verstinggruve.html
http://vcr.csrwire.com/node/12629
http://www.africafiles.org/article.asp?ID=19871
http://www.radiomundoreal.fm/rmr/?q=en/node/26891
http://gregornot.wordpress.com/2009/01/06/uprising-against-barrick-gold-in-tanzania/
http://www.corpwatch.org/article.php?id=15263
http://www.minesandcommunities.org/article.php?a=8263
Posted by Chama Cha Watanzania Oslo - CCW Oslo

Tabia Mwanjelwa

Mwanadada Tabi Mwanjelwa! mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni! Anategemewakujimwaga Uwanjani mjini Tampere,Finlnad taktika onyesho la aina yake "Fest Africa"Sauti ya Tabia Mwanjelwa itayeyusha barafu! mjini Tampere katika onyesho hilo,ambapo bendi nyngi zinategemewa kupanda jukwani kuwapa burudani washabiki,wasaniibendi zingine zitakazo shiriki ni pamoja na "The Ngoma Africa Band",vikundi vya Sanaa"The Mpondas" &drum bodymovements's,Toothpaste Band,na wasanii wengi wengineo.Onyesho hilo lotafanyika katika ukumbi wa Klubi,Tampere.
| Reactions:: |
Friday, January 30, 2009
Ngoma Afrika

Jinamizi la Mziki wa Dansi linategemewa kuwapandisha! mzuka na washabiki katika onyesho la "Fest Africa " litakalo fanyika 7 February 2009 hukoTampere,Finland,ambako bendi ya Ngoma Africa na "Bongo Dansi" inatarajiwa kutumbuhiza,bendi hiyo yenye maskani yake nchini Ujerumani,inayoongozwa na mwanamziki Ras Makunja,yenye tabia ya kuwadatisha hakili washabiki kwa mdundo wake wa dansi la bongo,The Ngoma africa ambayo inawanamziki mahiri wenye utaalamuwa mziki! wakiwemo mpiga solo mashuhuri Christian Bakotessa aka Chris B,na wengineo.Mzimu huo wa Dansi "Ngoma Africa band"umetajwa kuwa ni bendi bora katika maonyesho mengi ya kimataifa barani ulaya,na ni bendi pekee iliyofanikiwa kuwanasa washabiki wa kimataifa wa matabaka yote na kuwachezeja mdundo wa "Mziki wa Dansi" kutoka Uswahilini.
| Reactions:: |
Kamera Bado Ina Nguvu!
Furaha Yangu
Wapendwa,
napenda nieleze wanajamii wote jinsi mimi binafsi nilivyofurahishwa na taarifa za kupatikana kwa mtoto Mbarouk. Kwa kweli nilikuwa nimeumia roho sana baada ya kupata taarifa za kupotea kwa kijana huyu kwa kuzingatia kuwa siku hizi dunia imeharibika kimaadili, utu hakuna, huruma ndiyo imetoweka kabisaaaa.
Hongereni wazazi na poleni kwa mshikemshike uliowakumba ndani ya siku hizi chache ,pasipo kuwasahau wote waliofanikisha kupatikana kwa kijana huyu.
Ushauri wa bure jitahidini kumshirikisha MUNGU kwa kumshukuru kwa muujiza aliowatendea.
Ni mimi,
mdau Mbwambo J

Kenya's Winter Sports Day In Oslo!

Kenyans in Norway just identified a perfect choice for this year’s most active and entertaining day: Kenya Winter Sports Day 2009.
Whether you dream of champagne powder steeps, immaculately groomed cruisers, or dazzling snow-covered glades, it’s all within reach at Skullerud waiting to amaze you. Skullerud ski resort (Østmarka) offer skiers of all levels big vertical, diverse terrain, spectacular scenery, and one of the best ‘bob sledge’ slopes for kids.
Invite your families and friends to this year's Kenya Winter Sports Day scheduled for Saturday 7th. February 2009 from 13:00 to 16:30 hours.
Nganzo Hassan.
| Reactions:: |
MWANAFUNZI ALIYEPOTEA TANGA APATIKANA

Ndugu zangu katika jamii,
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, familia ya mtoto Mbarouk H. Massoud ambaye alitoweka nyumbani kwao huko Mikanjuni, Tanga tokea jumatatu 26/1/2009 bila taarifa yoyote, inayo furaha ya kuwajulisha kuwa mtoto wetu amepatikana huko Dar jana alhamisi 29/1/2009 akiwa salama.
Bado hatujajua sababu za mtoto wetu kuondoka bila kuaga na hilo tunalifanyia kazi kifamilia. Tunashukuru kwa msaada mkubwa tulioupata kutoka kwa ndugu,wadau, marafiki,jamaa na taasisi mbalimbali walioshiriki katika kumtafuta mtoto wetu bila kuchoka hadi alipopatikana.
Kwa ujumla wenu nyote tunawashukuru na kuwatakia mafanikio makubwa katika maisha yenu ya kila siku. Shukrani za pekee kwa wanablog na vyombo vya habari vifuatavyo:
Issa Michuzi
Maggid Mjengwa
Michuzi Jr
Haki Ngowi
Tanga TV ITV
Mwambao Radio
Asanteni sana.
Massoud Hamim,
Mzazi wa Mbarouk
| Reactions:: |
Thursday, January 29, 2009
"Bwa'Mdogo Hapokezwi Kijiti Mtu, 2010 Nitapanda...
Blogu Ya Profesa Matondo
Wapendwa wanablogu;Kwa heshima kubwa na taadhima tele nabisha hodi tena kwenu mliotangulia. Naomba mnifungulie mlango na kunikaribisha tena. Safari hii nakuja na blogu ya kuchangamsha fikra na uchambuzi. Blogu hiyo inapatikana hapa www.matondo.blogspot.com
Natanguliza shukrani zangu kwani najua mmeshanikaribisha.
Wenu;
Dr. Masangu Matondo Nzuzullima
Chuo Kikuu cha Florida
Natanguliza shukrani zangu kwani najua mmeshanikaribisha.
Wenu;
Dr. Masangu Matondo Nzuzullima
Chuo Kikuu cha Florida
| Reactions:: |
Rais Amjulia Hali Mwandishi Athumani Hamis
Wednesday, January 28, 2009
Anahitajika: Mkalimani Wa Kujitolea

Kwenye semina ya mazingira itakayofanyika Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Ilula. Kama kuna kijana anayeishi Iringa kwa sasa na aliye tayari kujitolea awasiliane nami kwa simu: 0788 111 765.
Semina ni ya siku mbili. Idadi ya washiriki takribani 45 . Atakayekuwa tayari atagharamiwa nauli ya Iringa Mjini- Ilula ( Daladala). Chakula na pocket money. Kazi hii ni fursa pia ya kupata maarifa mapya na kukutana na watu wapya.
Tujitolee Kuijenga Nchi Yetu
/Maggid
| Reactions:: |
AMETOWEKA NYUMBANI:MBAROUK MASSOUD

Mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya Mkwakwani, Tanga MBAROUK MASSOUD ametoweka nyumbani kwao huko Mikanjuni, Tanga tokea jumatatu tarehe 26/1/2009 na hajulikani alipo mpaka wakati huu na kusababisha huzuni na simanzi kubwa kwenye familia yake.
Jitihada za kumtafuta sehemu mbalimbali hazijazaa matunda hadi sasa, hivyo tunaomba msaada kwa yeyote atakaypata taarifa za kijana huyu awasiliane nasi kwenye namba za simu zifuatazo:
1. 0717 998 082 - Mrs.Massoud
2. +1 614 584 2321 Mr. H massoud( massoudhmj@hotmail.com)
3. 0754 336 128 Abdallah Massoud - Baba Mdogo
4. 0732 302 591 Moh'd Massoud - Baba dogo
5. 0713 770 191 Halima Abdallah - Mama mdogo
6.0713 475 155 WP Mwanaidi - Mama mdogo wa Iringa
7.0774 600 700 Uncle Kimolo wa Arusha
8.0715 260 377 Uncle Arch
9.0754 378 519 Uncle Japhet Makau
10. 0714 648 666 Muddy Massoud - Kaka wa Mbarouk
11. Mkuu wa shule Mkwakwani -0784 947 284
Pia taarifa inaweza kutolewa katika kituo chochote cha polisi ambacho kipo karibu.
Familia inatanguliza shukrani za dhati kwa ushirikiano utakaotolewa.

Taarifa
Colleagues Home & Abroad Regional News
Media Release- 26 January 2009
Pretoria.
Media Statement by Archbishop Buti Tlhagale OMI, President of the Southern African Catholic Bishops Conference.
STARTS
Zimbabwe: From Crisis to Disaster to Genocide – Does SADC want to be complicit in Genocide?
The appalling tragedy in Zimbabwe means that the time of talking is over. Six months of talks have resulted only in a stalemate. It is clear that the present mediation and negotiations have failed the people of Zimbabwe yet again.
Ten (10) months after the harmonised elections in March 2008, widely regarded as expressing the will of the people of Zimbabwe, President Mugabe and his Cabal cling to power illegitimately.
SADC must stop supporting and giving credibility to the illegitimate Mugabe regime with immediate effect. Failing this, SADC Leaders accept complicity in creating the conditions that have resulted in starvation, displacement, disease and death for ordinary Zimbabweans. This is nothing short of passive genocide.
We, the Catholic Bishops of Southern Africa, call on Mugabe to step down immediately. We call for the formation of a coalition interim government of National Recovery and the preparation for internationally supervised and credible presidential elections as soon as possible.
Archbishop Buti Tlhagale OMI, President of the Southern African Catholic Bishops’ Conference and the Bishops of Botswana, South Africa and Swaziland, meeting in Pretoria.
ENDS.
Released on behalf of the Southern African Catholic Bishops’ Conference by Fr Chris Townsend, Information Officer of the SACBC. Mobile: +27 (0) 82 783 4729 email: townsend@sacbc.org.za.
People for Peace in Africa (PPA)
P O Box 14877Nairobi00800, WestlandsKenyaE-Mail ppa@africaonline.co.keTel 254-20-4441372 Website : www.peopleforpeaceafrica.org

Tujifunze Kwa Wenzetu
Majibu Ya Waziri Mkuu
Salaam ewe mwanamapambano ya fikra;
Jana tumepata majibu ya maswali ambayo tulimuuliza mwandishi wa Waziri Mkuu. Unaweza kupata habari kamili kwenye tovuti yetu pamoja na maswali tuliyotuma na majibu kama yalivyotumwa kwetu na Mwandishi wa Waziri Mkuu Bw. Said Nguba.
Kwa wale waliokosa mahojiano yetu na Mhe. Harrison Mwakyembe unaweza kuyapata pia kwa kubonyeza hapa chini au kwa kusikiliza kwenye tovuti yetu kama link hii inakupa shida.
Mhariri.

Maisha Music!
--- Ashimba Release Party, Friday the 30th of January at daralive ---
Live:
- Ashimba
- Enika
- Wao Band
Friday the 30th of January Ashimba will release his long awaited debut album "Nuru Nyikani". Maisha Music will celebrate this with a unforgettable live event... There will be performances with Ashimba, Enika & Wao Band. A nice mix of Afro pop, R'n'B, traditional, electro and a lot more.
The release party will take place at daralive. (Former Malaika House, Old Bagamoyo Rd, about 500 m after BP Station you will see a sign "Fisherman at Malaika House"). Entrance only TSH 5000.
Doors open at 20:00, live performances will be between 21:00 and 24:00. Don't miss them!!!
This event kindly is sposored by:
- 41 Records
- Mawazo Gallery
- Alliance Francaise
Hope to see you there... Please forward and spread the word!!!
Maisha Music & daralive
www.maishamusic.com
info@maishamusic.com
www.myspace.com/jakobpoll
www.myspace.com/ashimba
Maisha Music is a new Tanzanian/Danish label that releases urban east african music. If you want to subscribe to Maisha Music's newsletter please send an email to info@maishamusic.com and write "Subscribe Newsletter" in subjectbox.

Tuesday, January 27, 2009
Maana Ya Kitanzini

· E bwana hapa ni kitanzini! Mjengwa unaweza kutupa asili ya hilo jina la Kitanzini?
Mwenzetu huyo hapo juu ametaka kujua zaidi ya kihistoria kuhusu Kitanzini, Iringa. Tuliwahi kuelezea maana ya Kitanzini huko nyuma, lakini si vibaya tukarudia. Pichani Mzee Nzowa bado anakumbuka mahala hasa uliposimama mti uliotumika na Wajerumani kuwanyongea Wahehe. Mahala hapo palijulikana kama Kitanzini.
Aliyefikishwa hapo alifungwa kitanzi shingoni na kuning'inizwa hadi kifo. Utotoni Mzee Nzowa alikua akiuona mti huo ingawa watu hawakuendelea kunyongwa hapo baada ya Mwingereza kuingia nchini. Mti huo wa kihistoria anadhani ulikatwa miaka ya 50 wakati wa kutengeneza barabara za mitaa. Hadi hii leo eneo hili linajulikana kama Kitanzini. Kwenye nchi za wenzetu wangeweka haraka mnara wa kumbukumbu ili kuitunza historia kwa vizazi vijavyo.
| Reactions:: |
Wingu!
Uhaba Wa Maji Chuoni Ilula Sasa Ni Historia
Hatimaye kero ya muda mrefu ya maji katika Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Ilula sasa imekwisha na kubaki kuwa historia. Ule mradi wa ujenzi wa matenki ya kuhifadhia maji ya kuvuna kutokana na mvua umekamilika. Ni mradi uliofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Kimataifa la Forum Syd la nchini Sweden. Nami nilishiriki kupanga na kuratibu mradi huo.
Itakumbukwa Novemba 2007 DC wa Kilolo, Iringa Dr Athuman Mfutakamba( mwenye suti nyeusi pichani ) alifika Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Ilula kuubariki mradi huo wa kuvuna maji ya mvua.
Tunavyozungumza, ujenzi wa matanki mawili yenye uzajo wa lita 48,000 kwa pamoja umeshakamilika. Hivi sasa wanafunzi na baadhi ya wanakijiji wanatumia maji hayo.
Ilula ni moja ya maeneo ya wilaya ya Kilolo, Iringa yenye uhaba mkubwa wa maji.
Mradi huu haukugharimu ' mamia ya mamilioni!' kwa vile nguvu kazi ya wanachuo na utaalamu wa walimu wa ufundi ulisaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa gharama za ujenzi wa matanki hayo.
| Reactions:: |
Monday, January 26, 2009
Hoteli Inauzwa

Hi,This hotel has 50 rooms,drivers' and workers' cottages.It also has 32 acres with zoo of different animals.Also has some water streams passing through the hotelIt is located in Arusha along Mt.Meru, near to Usa village
For more details contact me through email:benkick@hotmail.com
| Reactions:: |
Kumbukumbu Hii Bado Ipo?
Zain Kampuni Bora Ya Mawasiliano Afrika
Zain Group kampuni bora Ya mawasiliano Afrika
Dar es Salaam, Januari 26, 2009
Zain Group, imetajwa kuwa kampuni bora ya mawasiliano inayoongoza Afrik na Mashariki ya Kati mwaka 2008 na jarida la biashara linaloongoza la Comms MEA. Tuzo hizo zilitangazwa Grand Hyatt Dubai Desemba 15, ambapo kampuni ya Zain’s Bahrain ilitangazwa kuwa kampuni bora ya mawasiliano Mashariki ya Kati.
Zain imeunganisha shughuli zake na mtandao mmoja na kuunganisha masoko na kuleta mabadiliko makubwa kupitia huduma yake ya One-Network, huduma ya kwanza duniani kuunganisha mabara mawili ambayo ni Afrika na Mashariki ya Kati. "Kinachodhihirisha mafanikio haya ni kwamba miaka saba iliyopita Zain ilikuwa na mtandao katika nchi moja tu ya Kuwait ikiwa na wateja 600,000 tu.
Lakini leo hii ni kampuni kubwa ya mawasiliano inayohudumia wateja milioni 56 katika nchi 23," alisema Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Khaled Muhtadi. Zain ilibadilisha jina lake la biashara katika shughuli zaka barani Arika mwaka jana kutoka Celetel kuwa Zain na inaeendelea kupanua shughuli zake katika masoko mapya, soko la hivi karibuni likiwa la nchini Ghana ambapo iliwaha mitambo yake mwezi uliopita.
Kabla ya Ghana, Zain ililipa dola za Marekani 1.2 billion kununua Iraqna nchini Iraq, mtandao ambao una zaidi ya wateja milini tatu. Biashara ya Zain Saudi Arabia ambayo ilianza mwezi Agosti mwaka jana pia imeanza kutoa gawiwo kwa wenye hisa na wateja wameshavuka milioni moja.
Miradi mingine ya kupanuka kwa shughuli za Zain imefanyika wakati wa misukosuko ya kuichumi duniani, ambapo katika kipindi hico pia Zain iliweza kukusanya mtaji wa dola za Marekani 4.5 bilioni. Zain ilitumia Dola za Marekani milioni 120 kununua Ghana’s Westel, ambayo ndio kamupini ya hivi karibuni kununuliwa na Zain Barani Afrika. Zain ilizindua huduma hizo pamoja na huduma ya kwanza Afrika Magharibi ya 3.5 G.
Wateja wote wa Zain walipo katika mpango wa malipo kabla na malipo baada wanaweza kupiga na kupokea simu kwa kutumia laini zao za kila siku wakiwa katika nchi yoyote kati ya nchi 16 zinazotunia One Network bila kulipia ghrama za zuru za kimataifa wala gharama za kupokea simu. Pia wanaweza kuongeza muda wa maongezi kwa kutumia kadi za muda wa maongezi za nyumbani walikotoka au zaidi ya vituo 150,000 Afrika na Mashariki ya kati na kunufaika kwa kupata huduma kama wakazi wa nchi ambayo wametembelea.
"Mteja wa Zain akivuka mpaka na kuingia nchi nyingine anaunganishwa moja kwa moja katika mtandao wa One Network na hahitaji kujisajili wala kulipia ada yoyote. Wateja wanaweza kupiga na kupokea simu na kutuma ujumbe kwa viwanbgo vya nchi waliopo, wanapokea zimu zinazoingia bure katika nchi yoyote kati ya 16 za One Network," alisema Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Khaled Muhtadi. "Huduma ya Zain ya One Network inadhihirisha umahili za Zain katika swala la ubunifu.
Huduma ya One Work inapatika katika nchi 16 Afrika na Mashariki ya Kati ambazo ni; Tanzania, Kenya, Uganda, Nigeria, Niger, Chad, Malawi, Gabon, Democratic Republic of the Congo, Congo Brazzaville, Ghana, Burkina Faso Sudan, Jordan, Bahrain, Iraq na Ufalme wa Saudi Arabia," Mkurugenzi Mtendaji wa Zain alisema.

Obama Ameongeza Kiu Ya Kusoma
Mbele Ni Ipogolo!
Sunday, January 25, 2009
Bima Ya Kondoo!
Subscribe to:
Posts (Atom)