Safari ya Dar mpaka Iringa siku hizi inachukua zaidi ya saa 10 kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea. Nimefurahi kurudi Iringa yenye baridi.
Maggid
Tuesday, June 30, 2009
Polisi Wavunja Shughuli Ya Harusi Tanga!

Tukio lisili la kawaida limeripotiwa leo kupitia TBC 1 kwamba polisi mkoani Tanga wameingilia kati na kuvunja shughuli ya harusi kwenye moja ya vijiji vya mkoa huo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, polisi wameingilia kati kwa vile ndoa hiyo ilihusu msichana wa miaka 17 na aliyekatishwa masomo yake kuolewa na bwana wa umri wa miaka 50.
Polisi waliingia mahali hapo wakati Bi. Harusi, ndugu na waengine walioudhuria walipokuwa... soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com
| Reactions:: |
Utamu Wa Chungwa.....
FC Vito Malaika Ya Newala Wako Helsinki
Please inform the Tanzanian society that FC Vito Malaika from Newala plays in Helsinki Cup 2009. Matches start on 6th July. We will put all fixtures on www.liike.fi as soon as we get them from Helsinki Cup.
Karibuni wote cheer up the Malaika from South!
Br. Ari
Ari Koivu
Toiminnanjohtaja - Executive Director
LiiKe - Sport & Development
Radiokatu 20
00093 SLU, Helsinki, Finland
Telephone: +358 9 3481 2610
Fax: +358 9 3481 2602
Mobile: +358 40 765 9900
e-mail: ari.koivu@liike.fi
www.liike.fi
Karibuni wote cheer up the Malaika from South!
Br. Ari
Ari Koivu
Toiminnanjohtaja - Executive Director
LiiKe - Sport & Development
Radiokatu 20
00093 SLU, Helsinki, Finland
Telephone: +358 9 3481 2610
Fax: +358 9 3481 2602
Mobile: +358 40 765 9900
e-mail: ari.koivu@liike.fi
www.liike.fi
| Reactions:: |
FC Vito Malaika Ya Newala Wako Helsinki
Please inform the Tanzanian society that FC Vito Malaika from Newala plays in Helsinki Cup 2009. Matches start on 6th July. We will put all fixtures on www.liike.fi as soon as we get them from Helsinki Cup.
Karibuni wote cheer up the Malaika from South!
Br. Ari
Ari Koivu
Toiminnanjohtaja - Executive Director
LiiKe - Sport & Development
Radiokatu 20
00093 SLU, Helsinki, Finland
Telephone: +358 9 3481 2610
Fax: +358 9 3481 2602
Mobile: +358 40 765 9900
e-mail: ari.koivu@liike.fi
www.liike.fi
Karibuni wote cheer up the Malaika from South!
Br. Ari
Ari Koivu
Toiminnanjohtaja - Executive Director
LiiKe - Sport & Development
Radiokatu 20
00093 SLU, Helsinki, Finland
Telephone: +358 9 3481 2610
Fax: +358 9 3481 2602
Mobile: +358 40 765 9900
e-mail: ari.koivu@liike.fi
www.liike.fi
| Reactions:: |
Monday, June 29, 2009
Picha Moja,Tafsiri Elfu Moja!
Sunday, June 28, 2009
Tufanyeje Ili Turidhishane Kimapenzi?

Ilibainishwa humu hivi karibuni kuwa utafiti ulionyesha kuwa baadhi ya wanaume wana haraka ya kufanya sex. Habari ile bado inawafanya baadhi yenu kuendelea kunitumia mails zenye michango ya hoja na maswali pia. Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com
| Reactions:: |
Sheikh Suleiman Gorogosi Amefariki Dunia Jana

Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi amefariki dunia katika ajali ya gari jana akiwa safarini akitokea Mtwara kwenda Lindi. Anatazamiwa kuzikwa leo. Sheikh Gorogosi ameacha pengo kubwa kwa uongozi wa BAKWATA, Waislamu na Jamii ya Watanzania kwa ujumla wake. Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi,AMEN.
| Reactions:: |
8-1: Namna Gani Bongo FC?!
Prof. Haroub Othman Hatunaye Tena
What is Development? Colonialism Deconstructed

Makala hii ya Profesa Mbele ilichapwa katika toleo la kwanza la ' KWANZA JAMII' chini ya kichwa cha habari; ' Maendeleo ni nini'. Mwandishi ameifanyia tafsiri na kuchapwa na gazeti la The Urban Fly la nchini Marekani. Tunamshukuru Profesa Mbele kwa jitihada zake za kusambaza maarifa hata yakafika Kasulu Kigoma, Marekani na kwingineko.
By Dr. Joseph Mbele
The Urban Fly
The concept of development is everywhere, in our personal lives and in the lives of communities and countries in general. We all believe that we need development. If we do not strive to develop, we get pressured in one way or another to do so. Other people try to force development on us. Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com, au http://www.theurbanfly.com
| Reactions:: |
Saturday, June 27, 2009
Ngoma Afrika Band

Ras Makunja na Mzimu wake "The Ngoma Africa Band aka FFU,
wamejinyakulia nafasi ya pekee katika maonyesho ya mziki ya kimataifa ya "MASALA World Beat Festival, yaliyofanyika mjini Hannover,Ujerumani siku ya Jumapili ya 14-Juni-2009. Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com
| Reactions:: |
Afro-Music Live In Stockholm
Consultancy
Salaam Kaka Mjengwa
Hongera kwa kutupa habari za Bongo. Hapa tumeanzisha Firm ya Consultancy ya Biashara na taaluma, tunaomba uwahabarishe wadau kwa utambuzi. Tovuti yetu ni www.zabacco.com.
Kheri nyingi ziwe nawe
President
Zanzibar Business and Academic Consultancy
Hongera kwa kutupa habari za Bongo. Hapa tumeanzisha Firm ya Consultancy ya Biashara na taaluma, tunaomba uwahabarishe wadau kwa utambuzi. Tovuti yetu ni www.zabacco.com.
Kheri nyingi ziwe nawe
President
Zanzibar Business and Academic Consultancy
| Reactions:: |
Friday, June 26, 2009
Mwinyi" Eeh Michael,Unaionaje Tanzania Yetu?"
Michael Jackson Amefariki Dunia

Akiwa na miaka 50. Michael Jackson ni legend; aliishi na kufanya mengi yaliyo mbele ya wakati wake. Atakumbukwa.
Michael Jackson aliwahi kufika Tanzania kwa ziara ya kitalii miaka ya 90. Inasimuliwa, kuwa pale Kilimanjaro Hotel alipofikia alisikia kelele za washabiki jioni ile. Akachungulia dirishani na kuuliza kama wamekuja kumwona yeye. Akajibiwa; ” Hao ni washabiki wa klabu ya Simba wanarudi wakishangilia ushindi wa timu yao wakitokea Uwanja wa Taifa na kwenda kukiwahi kivuko. Katika wakati ule ambapo televisheni hazikuwapo, Michael Jackson hakuwa maarufu sana kuizidi Simba na Yanga!
| Reactions:: |
Thursday, June 25, 2009
Picha Hii Na Maadili: BAP Anachambua Kwa Kina

“Je, ni makosa kwa mpiga picha endapo mtoto huyu ataliwa na tai?Au si kosa kwa mpiga mpicha kwani ametusaidia kufahamu ukubwa wa tatizo. Kwamba eneo hilo limekubwa na ukame na njaa kali kiasi cha mama kufa au kuondoka na kumwacha mtoto wake.”
Swali na tamko hilo hapo juu ni mojawapo ya viini muhimu vya uandishi (journalism) na usambazaji (dissemination) wa habari na mawasiliano. Yote hayo mawili yana utata wake:
Mosi, wanahabari wanakabiliwa na maswali, matatizo, na kero za ki-taaluma. Wakati mwingine huwa ni vigumu sana kuweza kueleza habari bila kuingilia kati, ingawa wataalamu wa taaluma ya habari hujigamba kuwa mwanahabari hawezi kuwa sehemu ya habari! Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com
| Reactions:: |
Huduma Mpya! AIR ZARA INTERNATIONAL!

Kuanzia kesho kutakuwa na huduma mpya ya usafiri wa ndege kwa abiria ( Scheduled Commercial flights)kwenda na kutoa Zanzibar, Mafia, Iringa na kwingineko. Kwa habari zaidi tembelea; http://www.airzara.com
| Reactions:: |
Wanaume Waoga Wa Kutongozwa!
Baadhi ya wanaume ni waoga wa kutongozwa na wanawake. Hii ni kwa mujibu wa tafiti na uzoefu uliopo. Hapa kuna sababu za kijamii ikiwamo malezi, mila na desturi.
Bado inaonekana na wengi kama kitendo cha ajabu kwa mwanamke kuanza kuchukua hatua za kumtongoza mwanamme anayempenda ama kuvutiwa naye.Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com
| Reactions:: |
Muhogo Huu!
Wednesday, June 24, 2009
Changamoto Ya Kimaadili

Je, ni makosa kwa mpiga picha endapo mtoto huyu ataliwa na tai?Au si kosa kwa mpiga mpicha kwani ametusaidia kufahamu ukubwa wa tatizo.Kwamba eneo hilo limekubwa na ukame na njaa kali kiasi cha mama kufa au kuondoka na kumwacha mtoto wake. Picha hiyo iliyopigwa na mpiga picha mahiri barani Afrika ( Marehemu Mohammed Amin) ndiyo iliyouamsha ulimwengu na kutambua kuwa Ethiopia ilihitaji msaada wa haraka kutokana na kukumbwa na ukame na njaa.
| Reactions:: |
Kambona Alikuwa Na Mvuto Kwa Wanawake

Wanawake waliiga staili yake ya nywele!
Na Born Again Pagan
BADO tunajenga muktadha wa matukio ya ki-mataifa, ki-ukanda (regional) na ki-taifa (Tanzania) uliozalisha msimamo mkali wa baadhi ya wanafunzi vijana wa Mlim,anai miaka ya 1960-hadi 1970. Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com
| Reactions:: |
Wabunge Fungeni Virago Mwende Kwenu!

Wabunge Fungeni Virago Mwende Kwenu!
Na Padri Privatus Karugendo
KATIKA hali ya kawaida hakuna Mtanzania aliyekuwa na imani kwamba Wabunge wetu wangeweza kukwamisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2009/2010; wengi tuliamini ingepitishwa kama zinavyopitishwa zote kila mwaka. Kuna sababu nyingi za kuamini hivyo: Idadi kubwa ya Wabunge ni ya chama tawala, Bajeti inaandaliwa na serikali, na !serikali inaongozwa na chama tawala: Haiwezekani chama kikajikwamisha hata kama bajeti ingekuwa mbaya namna gani. Rais wa nchi anatoka chama tawala yeye ndiye mwenyekiti wa chama hicho tawala; hotuba yake kabla ya bajeti ilikuwa inatengeneza njia; uchaguzi mkuu ni mwaka kesho, wabunge wote wa chama wanapita katika mchakato wa chama, hivyo ni lazima kuwa “watoto” wazuri ili wateuliwe kugombea tena katika uchaguzi mkuu ujao; hata hivyo hakuna historia ya Bunge la Tanzaniaa kukwamisha bajeti. Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com
| Reactions:: |
Hata Kama Kutangulia Si Kufika...
Pamoja na kuongoza kundi hilo kwa kasi nzuri ya kuanzia, baada ya km 10 hivi nilimkuta kijana huyo mwenye namba 301 akitembea kama mtu anayekwenda dukani pale maeneo ya Kivukoni Front. Natumaini aliweza kumaliza km 21 hata kwa kutembea. Naam. Hata kama kutangulia si kufika, ni bora ufike salama.
| Reactions:: |
Chupa Hii Tupu Inampatia Senti Ishirini Na Tano!
Tuesday, June 23, 2009
Wote Wana Makosa
Kivumbi Jumamosi,Finland!
FC Bongo will host KILIMANJARO FC from stockholm this saturday of 27th june 2009 at 12 to 2.00 afternoon at KÄPYLÄ URHEILUPUISTO Helsinki.
This will be the first time FC BONGO Hosting KILIMANJARO FC and the second time meeting.
The first time was last summer when FC BONGO visited KILIMANJARO in stockholm and KILIMANJARO won the trophy by winning 4-3. This time the winner will be awarded the same trophy.
The team which is going to win the trophy 3 times in a row will be awarded the trophy permanently.
FC BONGO have manage to win all prevention cup games last year and won the trophy, but it was hard to win KILIMANJARO in stockholm.
Is it gonna be the same story this time?
Please forward this invitation to all friends around.
Regards: Ezza
| Reactions:: |
Tuwaache Watoto Wawe Watoto
Nanasi La Bagamoyo
Monday, June 22, 2009
Korosho Za Mapinga
Pumzi Anazo!
Joto Liliwachemsha Wengi Jana
Sunday, June 21, 2009
Niko Bagamoyo!

Baada ya kumaliza mbio za Vodacom Dar Half Marathon asubuhi hii, niliondoka moja kwa moja na kuja hapa Bagamoyo. Pwani ya Bagamoyo ni nzuri, nimetumia muda mwingi wa leo nikiwa pwani, kujisomea na kutembea kandokando ya bahari. Nilipata nafasi pia ya kutembelea mitaa ya kati ya mji wa Bagamoyo. Hakika Bagamoyo ni kuzuri!
| Reactions:: |
Mh.Kawambwa: "E Bwana Njoo Karibu!"
Nimevunja Rekodi Yangu!
Ya mwaka jana ni kilomita 21 kwa saa moja na dakika 52. Mwaka huu nimetumia saa moja na dakika 49. Mbio zilikuwa ngumu kutokana na jua na joto kali kama ilivyotazamiwa. Tulianza saa mbili na robo asubuhi. Zilikuwa ni mbio za kuvutia. Kuiona Dar Es Salaam kwa njia ya marathon ni kitu cha kipekee kabisa. Na mazoezi yangu ya mchangani pale Oysterbay Beach jana jioni na huko nyuma bila shaka yameniongezea pumzi nilizohitaji kuweza kukimbia kilomita 21 bila kusimama.
| Reactions:: |
Kijiwe Cha 'Black Wizard' Kinondoni
Saturday, June 20, 2009
Ng'ombe Hanenepi Siku Ya Mnada!



Kesho asubuhi nitakimbia Vodacom Dar Half Marathon, ni kilomita 21. Lengo ni kuivunja rekodi yangu mwenyewe ya mwaka jana ( Coca-Cola Dar Half Marathon). Nilitumia saa moja na dakika 52. Mwaka jana tulianza saa kumi na mbili na nusu asubuhi. Mwaka huu mbio zitaanza saa mbili asubuhi, ni kiyama,maana Dar ina joto kali kwa sasa,na kesho kutakuwa na jua kali na joto kali pia. Soma zaidi; http://www.kwanzajamii.com
| Reactions:: |
Subscribe to:
Posts (Atom)


















