Subscribe:

Wednesday, September 30, 2009

BAP: Museveni Aliwachachafya Maprofesa Mlimani




Msimamo Mkali wa Vijana wa Mlimani – Yoweri Kaguta Museveni
Aliwachachafya maprofesa Mlimani
Alikwenda vitani Vietnam na Msumbiji
Na Born Again Pagan
KWA wale wenye kupenda kumjua Yoweri Kaguta Museveni, mwanafunzi wa Mlimani, someni yafuatayo: http://www.kwanzajamii.com
Reactions::

Freddy Macha: Kazi Yangu Dereva Teksi



..Abdalah alikuwa keshalegea baada ya kuuona mpira. Nkamtazama totoz alivyokaa pale kando yangu; siamini; nkayakodolea yale matiti yaliyonyooka; njiti za kiberiti; nkamtazama miguu laini myeusi na kiuno kilichonikumbuka Aziza aliyesema Sina Mbone kwa Kiluguru siku ile ya chips. Aziza ambaye hakuna hata mmoja pale ofisini Morogoro aliyeambulia kitu; kidogo kidogo Abdallah akanyooka kimshale mshale. Nkamvalisha kofia. Tukayaanza tena mabusu. Endelea: http://www.kwanzajamii.com
Reactions::

" We Must walk .....


.... While They Are Running!". Iringa, 30th September, 2009.
Reactions::

.. Na Wa Kijapani Pia!



Iringa, jana mchana.
Reactions::

Hii Ndio Roya



Mitaa ya kati ya kata ya Roya, Uyui, Tabora. Victor Makinda, Mwandishi wa KWANZA JAMII alifika kata hiyo iliyo umbali wa kilomita zaidi ya 120 kutoka Igunga, Tabora. Ni eneo linalotisha kwa matukio ya mauaji na uporaji wa kijambazi. Diwani wa Kata hiyo alimshangaa sana Victor Makinda na kusema kuwa hawajapata kutembelewa na mwandishi wa habari katika kata hiyo.
Reactions::

Usafiri Wa Kutegemewa Kata Ya Roya



Uyui, Tabora. ( Picha: Victor Makinda wa KWANZA JAMII)
Reactions::

Bibi Yetu Atapumzika Lini?


Ifunda, Iringa.
Reactions::

JK Na Speaker Pelosi



President Jakaya Mrisho Kikwete with the Speaker of the House of Representatives, Nancy Pelosi in her office at Capitol Hill,Washington DC yesterday.President Kikwete held talks with the Speaker on bilateral issues.
Reactions::

Mazungumzo



President Kikwete and his delegation during a meeting with the Speaker of The House of Representatives Nancy Pelosi at her Capitol Hill office in Washington DC yesterday(PHOTOS: Freddy Maro)
Reactions::

Leo Magazetini





Reactions::

Tuesday, September 29, 2009

KWANZA JAMII Juma Hili



Liko Mitaani kuanzia leo Jumanne.
Reactions::

Mwandishi Wa 'KWANZA JAMII' Ni Abiria Pia!



Mwandishi wa KWANZA JAMII Victor Makinda alikuwa ni mmoja wa abiria katika usafiri huu wa kutoka Igunga kwenda Kata ya Roya wilaya ya Uyui, Tabora. Kupitia gazeti la KWANZA JAMII, Victor Makinda anaripoti juu ya matukio ya mauaji na uporaji yaliyofanyika hivi karibuni katika eneo hilo. Aidha amepiga picha kadhaa za kijamii ambazo zimechapwa katika gazeti la KWANZA JAMII pia. Baadhi ya picha hizo ni kama hiyo hapo juu. Nyingine zinakuja.
Reactions::

Maonyesho Ni Bure!



Maonyesho ya Wiki ya Utalii Kitaifa, Iringa. Pichani ni juzi Jumapili.
Reactions::

Kulia Ni Kalenga Road



Iringa.
Reactions::

Foleni Ya Kumwona Chui!



Kwenye maonyesho ya Wiki ya Utalii Kitaifa. Pichani ni juzi alasiri. Maonyesho hayo yanamalizika rasmi hii leo.
Reactions::

Monday, September 28, 2009

JK Afungua Jengo Jipya La Ubalozi Washington



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kufungua rasmi jengo jipya la Ubalozi jijini Washington Marekani leo asubuhi.( Picha: Freddy Maro)
Reactions::

Jengo Hili Tumenunua Kwa Dola 10,415,00



Jengo jipya la ubalozi jijini Washington Marekani ambalo Rais Jakaya Mrisho Kikwete alilifungua leo asubuhi.Jengo hili limenunuliwa na serikali ya Tanzania kwa jumla ya dola za kimarekani $10,415,000
Reactions::

JK Akisalimiana Na Wageni



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wageni mbalimbali na mabalozi waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa jengo jipya la ubalozi jijini Washington Marekani zilizofanyika leo asubuhi.
Reactions::

JK Akitoa Hotuba



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa jengo jipya la ubalozi jijinji Washington Marekani leo asubuhi.
Reactions::

Kitabu Cha Wageni



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Balozi iliyopo katika jengo jipya la Ubalozi wa Tanzania jijini Washington Marekani leo asubuhi.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na wapili kushoto ni Balozi wa Tanzania Washington Ombeni Sefue(Picha na Freddy Maro)
Reactions::

Banda La Redio Ebony FM Limetia Fora!





Kwenye Maonyesho ya Wiki ya Utalii Kitaifa hapa Iringa. Pichani ni jana alasiri.Kwenye Maonyesho ya Wiki ya Utalii Kitaifa hapa Iringa. Pichani ni jana alasiri. Utafiti wangu unaonyesha kuwa ni banda linalotembelewa na watu wengi zaidi katika maonyesho hayo. Kati ya watu kumi niliowauliza, wanane wamefika katika banda hilo, wamesimama na wameangalia kinachoendelea hapo. Wengi wamevutwa na kuona studio ya redio inavyofanya kazi, pia kuwaona watangazaji wao wanaowasikia redioni tu. Ebony Redio ingeweza kufanya mengi zaidi na banda lao kama wangetaka. HONGERA SANA REDIO EBONY FM!
Reactions::

Wamependeza!



Iringa, jana Jumapili.
Reactions::

Chicago Trans!



Iringa, jana mchana.
Reactions::

Kuuliza Si Ujinga...

Reactions::

Aliye Juu Mngoje Chini, Au....?

Reactions::

Sunday, September 27, 2009

Imposibilium Nulla Est Obligatia!



" Hakuna anayepaswa kutenda lisilowezekana!" Walinena Wayunani wa Kale.
Reactions::

' Jamaa' Nilimkuta Uwanjani!




Kwenye maonyesho ya Utalii Kitaifa hapa Iringa. Jua na joto kali la Iringa wakati huu lilimfanya chui wa watu achape usingizi muda wote. Kesho kuna ugeni wa Waziri wa Utalii na labda simba kutoka Ruaha National Park.
Reactions::

Kandanda Hii!



Iringa.
Reactions::

Sani Juma Hili

Reactions::

Kurasa Za Ndani

Reactions::

Jamii Ina Mengi: " Nitauza Simu Pamoja Na Laini!"



Jibu hilo limeniacha hoi! Wengine mnasemaje?
Reactions::

Juma Nature

Reactions::

Juma Nature

Reactions::

Katuni


Reactions::

Katuni

Reactions::

Ingoma Inogile!




Kikundi cha utamaduni cha Neema Craft Iringa, jana usiku.
Reactions::

Ombwe ( Vacuum)



Kitanzini, Iringa, leo jioni.
Reactions::

Msafiri Zawose




Msanii Msafiri Zawose jana usiku alitumbuiza kwenye ukumbi wa Neema Craft hapa Iringa. Amefungua pazia ya maonyesho 'laivu' ya muziki ya mara moja kwa mwezi. Msafiri anapiga muziki wa utamaduni wa Kitanzania. Ni hodari.
Reactions::

Saturday, September 26, 2009

Tutafika Tu!

Reactions::

JK Na Ray Chambers



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Malaria Bwana Ray Chambers mara baada ya kufanya mazungumzo jijini New York Marekani leo jioni.
Reactions::

JK Na Kamaresh New York



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bwana Kamaresh Sharma jijini New York leo jioni.Rais Kikwete yupo jijini New York Marekani ambapo anahudhuria Mkutano Mkuu Baraza la Umoja wa Mataifa(Picha: Freddy Maro)
Reactions::