We have 314 guests and no members online

Global Education Link

JK AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA WAALIMU MBOGA SEKONDARI

 

8E9U7250

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa nyumba za waalimu katika shule ya Sekondari ya Mboga, iliyopo kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana(Jumapili). 8E9U7357

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza  jambo Diwani wa Kata ya Msoga Bwana Mohamed Mzimba wakati Rais alipotembelea shule ya Sekondari ya Mboga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo. picha na Fredy Maro

8E9U7421

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mboga kata ya Msoga leo wakati Rais alipotembelea shule hiyo leo kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za waalimu shuleni hapo.(picha na Freddy Maro)

HEADER

Guest
0Guest2013-04-22 20:55#1
Kila kitu Bagamoyo sasa Hospital kubwa, Mtambo wa kuzalisha umeme, Bandari,Uwanja wa Ndege, Barabara kibaki kazi tunayo naomba tumarize muda wetu khaa.
Mnukuu
Guest
0Guest2013-04-23 06:59#2
Mheshimiwa mimi nakushauri ukiwa unakwenda kagua kitu chochote wape mshangao wanapokuonga kwena kuanzia wewe malizia, maana huenda unapelekwa kuliko tengenezwa vizuri na wanajua unakwenda basi shughuli nzuri kuwa makaini maana changa la macho wabongo tunajitahidi, siku mbili upepo umeezua mara ukuta umebokoka kumbe mifuko ya sementi imelambwa nusu.
Mnukuu

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

mjengwaapp_copy_4d310.jpg

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Wanakijiji

BLOG SHABIHANA