Kuna watembeleaji 555  wapo online

Published in Mjengwa Blog

goma f3c1fVITA vikali vinaendelea katika wanajeshi serikali na waasi karibu na Goma, Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Msemaji wa wapiganaji wa waasi wa M23 ameiambia BBC kuwa ndege za kivita za serikali zimefanya mashambulio ya anga katika maeneo yao usiku ya kuamkia jana.

Umoja wa Mataifa kwa upande wake umesema uko tayari kutumia nguvu, kuwalinda raia ikiwa wapiganaji hao wa M23 wataingia mjini Goma. (HM)

Mapigano hayo yanatokea, huku jeshi la Umoja wa Mataifa litakalojumuisha wanajeshi elfu tatu likijiandaa kwenda eneo hilo kuwapokonya silaha wapiganaji wa waasi.

Mwaka uliopita waasi hao walijiondoa kutoka mji huo baada ya kuuteka kwa muda.

Mazungumzo ya amani kati ya wasi hao na wawakilishi wa serikali nchini Uganda yamekwama.

 

Read more...

Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

tangazahapa_copy_7ab8d.jpg

Maoni ya Wanakijiji

Zilizosomwa Zaidi

BLOG SHABIHANA