We have 194 guests and no members online

Simu

Posted On Wednesday, 13 February 2013 06:56

 0006 MWEI 6d889

 

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo akimkabidhi Hadija Tengeza wa kijiji cha Kwa Mndolwa mkopo wa Mwei kutoka Vodacom Foundation uliowanufaisha wanawake wajasariamali zaidi ya 90 wa kijijini hapo. Wengine picha kutoka kushoto ni Kaimu Katibu Tawala wa Korogwe Martha Munuo, Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim, Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon(kulia).

 

Mpango mahsusi wa kampuni ya Vodacom wa kuwawawezesha wanawake wajasiriamali wadogo kiuchumi vijijini umeendelea kutoa tumiani kwa jasiriamali zaidi wanawake ambao ukuzaji wa mitaji ya biashara wanazoziendesha  sio wa uhakika kutokana na kukosa uwezo wa kukopesheka kutoka  taaisi za fedha. Ikiwa tayari imeshawanufaisha wanawake zaidi ya 7,000 nchini mradi wa Mwei

Posted On Wednesday, 13 February 2013 06:39

 

DSC03424

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akionyeshwa Mfumo wa Maji Taka na Meneja Mazingira Bw. Dominick Mariki wakati  Waziri alipofanya Ziara ya Kutembelea Kiwanda cha  Bia cha Serengeti Breweriers cha  Jijini Dar es Salaam kuangalia mazingira katika Mtaa wa Chamwenyewe Chango’mbe jijini Dar es salaam.

DSC03451

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akimsikiliza Bi. Mwaka Washokela kuhusu hali ya mazingira katika Kiwanda cha Bia cha Seregeti  Mtaa wa

Posted On Wednesday, 13 February 2013 06:13

c6 7f7b4

This is ' Pig-football- Kandanda ya nguruwe!'- at Migoli, Mtera, Iringa.

Posted On Wednesday, 13 February 2013 05:06

c10 eb57f

Hoyce Temu at Isimani, Iringa, recently.

Posted On Wednesday, 13 February 2013 05:02

5 a5e9f

Birthday boy Allan Rwechungura anaetoa peace akiwa na some friends kwa siku yake ya kuzaliwa..kula bata kwenda mbele ndani ya Mel Moz.

Posted On Wednesday, 13 February 2013 04:34

Athman Nyamlani Mgombea Urais Pekee wa TFF

Posted On Wednesday, 13 February 2013 04:26

 Waziri mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda (katikati) akikata utepe kwa kushirikiana na Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Kimataifa la nguvu za Atomiki  Duniani Yukiya Amano (wa pili kutoka kushoto) kuashiria uzinduzi rasmi wa  jengo jipya lenye  vifaa vya kisasa kwa ajili ya  kuwahudumia wagonjwa wa kansa katika Taasisi ya Kansa jana Ocean Road jijini Dar es salaam. Wengine ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto), Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kansa Ocen Road Prof. Twalib Ngoma (wa tatu kutoka kushoto) na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Seif Rashid.

Posted On Wednesday, 13 February 2013 04:20

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waliokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA.Kushoto anayevaa kofia ya CCM ni aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi  kwa tiketi ya CHADEMA Bwana Mtela Mwampamba na kulia ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA Bi  Juliana Shonza.Wengine katika picha ni Katibu mkuu wa CCMNdugu Abdulrahman Kinana(kulia) na kushoto ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula.Picha na Freddy Maro-IKULU

Posted On Wednesday, 13 February 2013 04:12

 

                                          Spika wa Bunge,Anne Makinda 

MWANANCHI
 

POLISI mkoani Dar es Salaam wametangaza kuwafuatilia, kuwasaka na kuwachukulia hatua wote waliotuma ujumbe wa matusi ama kupiga simu ya vitisho kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda. Viongozi wa Chadema walifanya mkutano wao mwishoni mwa wiki kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, jijini Dar es Salaam na kutoa namba za Spika wa Bunge ili mashabiki wamshinikize ajiuzulu. Pia viongozi hao walitoa namba za simu za Naibu Spika, Job Ndugai ili naye ashinikizwe ang’oke katika nafasi yake kwa madai ya kukandamiza upinzani bungeni. Chadema walidai kuwa

Posted On Wednesday, 13 February 2013 03:15

TanzaniaFootballFederation1 a03d5

Kamati ya Uchaguzi, kwa mamlaka iliyonayo kupitia Kanuni za Uchaguzi za TFF Ibara ya 3(1), 6(1) (g) na (l), 10(5), 11(6) inayosomeka pamoja na Ibara ya 14(1) na (2) na pia Ibara ya 26(5) na (6), imesitisha zoezi la kampeni za uchaguzi wa TFF na TPL Board lililokuwa lianze kesho tarehe 13/02/2013 hadi hapo itakapowatangazia, ili kuhakikisha kuwa mchakato wa uchaguzi unakidhi kikamilifu matakwa ya Kanuni za Uchaguzi na Katiba ya TFF.

 

2. Tarehe za Uchaguzi Mkuu wa TFF na TPL Board zinabaki kama zilivyopangwa.

 

3. Taarifa hii inazingatia pia Ibara ya 2(4) ya Kanuni za Uchaguzi za TFF inayoagiza uongozi uliopo madarakani kuendelea na kutekeleza majukumu ya Shirikisho hadi hapo mchakato wa uchaguzi utakapokamilika.

 

Deogratias Lyatto

MWENYEKITI

KAMATI YA UCHAGUZI TFF

Posted On Tuesday, 12 February 2013 18:03

 Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akizindua kitabu cha Mwongozo wa Usanifu wa Barabara. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Saidi Amani na kushoto ni Eng. Joseph Nyamuhanga, Mkurugenzi wa Barabara katika Wizara ya Ujenzi.

 

Posted On Tuesday, 12 February 2013 15:36

pro 0634e

Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akikabidhi leseni ya uchimbaji madini kwa Bw. Roman Lyaruu kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Itewe wilaya ya Chunya. Mhe. Waziri alisisitiza wachimbaji wa madini kulipa kodi zote zinazotozwa na Mamlaka za Serikali ikiwemo mrabaha wa asilimia nne.

Posted On Tuesday, 12 February 2013 15:18

 

 

 

TFF a1e7a

Uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania (FRAT) unafanyika Februari 14 mwaka huu mjini Morogoro kama ulivyopangwa, tofauti na taarifa wanazopewa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho. Kwa mujibu wa Katibu wa Kamati ya Uchaguzi ya FRAT, Damas Ndumbaro, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa FRAT wanatakiwa kufika Morogoro keshokutwa (Februari 12 mwaka huu) . Pia

Posted On Tuesday, 12 February 2013 14:34

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima akimsalimia  Mwezeshaji wa Mafunzo ya Jinsia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Asina Omari (kulia) kabla ya kufungua mafunzo ya Jinsia awamu ya pili mjini Morogoro leo. Kushoto ni Kamishna wa Sheria na Utawala wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa. Pereira aliwataka maafisa wa jeshi hilo wahakikishe msongamano ndani ya magereza nchini unapungua.

Posted On Tuesday, 12 February 2013 14:09

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Smart