We have 103 guests and no members online

Maji

IMG-20130118-00358 3c85b

Posted On Friday, 18 January 2013 04:18

kp17012013 c54e1

Posted On Friday, 18 January 2013 02:39

 

IMG_6469

Na: Kibada Kibada -Katavi

Naibu  Waziri wa nchi  Ofisi ya waziri mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)  Agrey Mwanri amewaagiza viongozi na Watendaji wa serikali kuhakikisha wanakomesha suala la

Posted On Friday, 18 January 2013 02:30

 

KAMANDA-11868905953

Na:Mahmoud Ahmad Arusha

 
Wananchi wenye hasira kali hapa nchini wametakiwa kuacha kujichukulia sheria mikononi na kuwapiga ama kuwachoma moto watu wanaodaiwa kuwa ni wezi bila ya kujua kama madai wanaotuhumiwa nayo ni ya kweli au la na wengine kujikuta wakipoteza maisha bila ya kuwa na hatia na kutakiwa kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria na usalama.

Kauli hiyo imetolewa na

Posted On Friday, 18 January 2013 02:24

Shein Pix

            Na: Ali Issa-Maelezo Zanzibar 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuongoza Mkutano wa saba wa Baraza la Biashara Zanzibar utakaofanyika Jumamosi Januari 19 katika ukumbi wa Salama Hoteli Bwawani mjini Zanzibar.

 Akitoa taarifa kwa Vyombo vya habari huko Gulioni katika Jengo la ZSTC Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Ali Haji Vuai alisema mkutano huo wa saba utazikutanisha

Posted On Friday, 18 January 2013 02:19

 

8E9U4363

Balozi mpya wa Msumbiji nchini Tanzania Dkt.Vicente Mebunia Veloso na Balozi Mpya wa Indonesia nchini(4395) Mhe.Zakaria Anshar wakiwasilisha hati zao za utambulisho kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro).

Posted On Friday, 18 January 2013 02:13

001 f1ced

 

Ndugu zangu,

Kuna mlioniuliza kama nami nitakwenda kuchukua fomu kugombea nafasi za Uongozi TFF. Natoa hapa jibu la jumla; sitachukua fomu, na kesho ni siku ya mwisho ya kuchukua na kurudisha fomu.

Kwanini?

Posted On Thursday, 17 January 2013 18:38

1 b8007

 

Historia yake:

Kwa miaka mingi sana nyama imekuwa chakula cha asili kabisa katika nchi yetu. Nyama imekuwa ikiliwa na inaendelea kuliwa na vyakula vya wanga, na hapo ndipo nyama ilikutana na jina jipya la kitoweo. Lakini pia nyama hailiwi tu kwa staili hiyo, nyama pia ilijikuta ikipata jina lingine kwenye mabaa na vilabu vya pombe iliposhushiwa na mafunda ya pombe na kuitwa asusa.

Nyama ni tamu sana. Kuna uhakika wa kitaalamu kabisa unasema nyama ikipikwa au

Posted On Thursday, 17 January 2013 15:51

1 7636b

 

Na Mwandishi Wetu

Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na vyombo mbalimbali vya habari yakiwemo baadhi ya magazeti ya leo (Alhamisi, Januari 17, 2013) ambazo zinaashiria kuwa Tume inakataa kupokea baadhi ya maoni yanayowasilishwa kwake na makundi mbalimbali.

Taarifa hizo za vyombo vya habari zimetokana na kauli ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya

Posted On Thursday, 17 January 2013 15:31

Mwenyekiti wa CCM jimbo la Singida mjini, Hamisi Nguli (kushoto) akikabidhi vifaa vya michezo kwa kiongozi wa tawi la Mitunduruni.

Posted On Thursday, 17 January 2013 15:16

 

IMG  335

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,na Rais wanZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo alipokua akizungumza na  Viongozi wa Tawi la CCM Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui,wakiwemo Viongozi wa  Jumuiya mbali mbali za Chama  hicho katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jana,Makamo  Mwenyekiti alifanya ziara maalum ya kusalimiana na Viongozi hao ikiwa  ni pamoja na  kuimarisha Chama cha Mapinduzi,(CCM) (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.  [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Posted On Thursday, 17 January 2013 15:07

541883 4697947999427 837786969 n 874e0

Posted On Thursday, 17 January 2013 14:45

 

220px-Coat of arms of Tanzania.svg cccb7

 

Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia Baraza la Sanaa la Taifa, limebariki kufanyika kwa Fainali za Taifa za Miss Utalii Tanzania 2012/13 baada ya kuridhishwa na maandalizi yaliyo fanywa na Miss Tourism Tanzania Organisation waandaaji wenye dhima ya kikomo ya kuandaa na kuendesha mashindano hayo kitaifa na kimataifa, pia kwa kuzingatia sheria za nchi, kanuni na Taratibu za mashindano.

Posted On Thursday, 17 January 2013 14:35

 

IMG_6184Meneja Mauzo na Masoko wa Push Media Mobile, Rodney Rugambo akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa shindano la kampeni maalum ya kuadhimisha sikukuu ya wapendanao ‘ Valentine Day’ iliyoandaliwa kwa kushirikiana na Kampuni ya African Media group (AMG) kupitia kituo cha televisheni cha Channel Ten na Redio Magic FM. Kushoto ni AFISA Masoko na Mauzo wa AMG,  Prosper Vedasto

Posted On Thursday, 17 January 2013 14:29

DSC00328 020c6

Picha na Emmanuel Marijani

Posted On Thursday, 17 January 2013 14:19

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli