We have 340 guests and no members online

Oh! Oh! Hii Picha Imepigwa Na Msukuma..!

Posted On Monday, 19 June 2017 10:07 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: one or more people, people standing, people walking, outdoor and nature

Sengerema nimechomoka asubuhi sana kwa jogging.
Kuna mlima mzuri ukipandisha kuelekea Geita kuvuka kituo cha usalama. Mlimani nikakutana na Kijana wa Kisukuma. Nikampa kamera nikijua kuna mawili; asiponikata miguu atanikata kichwa! Watani zangu Wasukuma nawajua...
Mulimolaaa!
Maggid.

Read 52 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji