We have 340 guests and no members online

Mwenyekiti Wenu Na Mke Wangu Mpenzi Tuna Miaka 24 Ya Ndoa...! ( 24 Years Wedding Anniversary)

Posted On Monday, 19 June 2017 10:12 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: 2 people

Ndugu zangu,

Bila shaka Mwenyekiti wenu nastahili makofi ya wajumbe wangu!
Leo tarehe 19, Juni 2017 ni miaka 24 tangu tufunge ndoa. Ilikuwa ni Juni 19, 1993. Pichani ni mwaka 1989 wakati tukiwa bado wachumba, mimi na Mia, mpenzi wangu wa kwenye raha na shida.

Na mnaona hapo, kuwa ulevi wangu wa chai bila sukari umeanza siku nyingi! Kwanini uhangaike na sukari ya kupima wakati ya moyoni unayo?!

Maggid Mjengwa,

Read 97 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji