We have 312 guests and no members online

Makubwa Ya Hapo Zamani: Hivi, Mheshimiwa Huyu Kosa Lake Lilikuwa Nini?

Posted On Saturday, 12 August 2017 11:26 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: one or more people and text-Je, kama mheshimiwa angekuwa mwanamme ingekuwa habari?
- Nilishangaa Mheshimiwa huyu hakwenda Mahakamani kulishtaki gazeti na kudai fidia ya kuingiliwa faragha yake.

Wajumbe mna maoni gani?

Jambo hili lilitokea mwaka 2013.

Tafadhali, tusijadili kwa kutaja majina ya wahusika. 

Maggid, 

Iringa.
 
 
Read 50 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji