We have 184 guests and no members online

MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU AZUNGUMZA NA MAAFISA HABARI

Posted On Wednesday, 13 September 2017 09:08 Written by
Rate this item
(0 votes)

DSC_0908

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Hassan Khatib akizungumza na Maafsa Habari  wa Taasisi mbalimbali za Serikali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.

DSC_0918

Afisa wa Habari kutoka Ofisi ya Mtakwimu mkuu wa Serikali Salama Njani akitoa mchango wake katika kikao cha maafsa habari kutoka Taasisi mbalimbali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.

 

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

Read 72 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji