We have 167 guests and no members online

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUBA) Pamoja na Short Stature of Kenya Zikionyesha Maigizo Tamasha la JAMAFEST

Posted On Wednesday, 13 September 2017 09:18 Written by
Rate this item
(0 votes)

PIX 1

Kikundi cha burudani ya Uchekeshaji kutoka nchini Kenya maarufu kama Short Stature Society of Kenya kikitoa igizo lake la kuchekesha mbele ya washiriki mbalimbali wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) toka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki 12 Septemba, 2017 Mjini Kampala, Uganda.

PIX 7

Kikundi cha Sanaa cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Tanzania (TaSUBA) kikionyesha igizo lake mbele ya washiriki mbalimbali toka nchi wanachama wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) ambapo igizo hilo likimaanisha namna gani nchi hizo zinavyopaswa kuonyesha ushirikiano wa karibu katika masuala mbalimbali kwa manufaa ya nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki 12 Septemba, 2017 Mjini Kampala, Uganda.

(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM, KAMPALA-UGANDA)

Read 69 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji