We have 308 guests and no members online

Global Education Link

basi jipya la azam fc "Kama ulaya"

azam 55b9d

Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki. (HM)

azam2 3d108azam3 7362d

Binzubeiry

HEADER

Guest
-1Guest2013-12-31 15:10#1
Jamani mbona tunapotoshana hivyo ? Higer ni coachbuilder kutoka china na hawauzi mabasi yao Ulaya ya magharibi kama Uingereza,Ujeru mani Hispain na kadhalika.Timu za ulaya zinatumia Scania,Volvo Iris bus etc etc.
Mnukuu
Guest
-1Guest2013-12-31 18:34#2
BIG UP AZAM
Mnukuu
Guest
0Guest2014-01-01 12:05#3
Nukuu ya alichoandika Guest:
Jamani mbona tunapotoshana hivyo ? Higer ni coachbuilder kutoka china na hawauzi mabasi yao Ulaya ya magharibi kama Uingereza,Ujerumani Hispain na kadhalika.Timu za ulaya zinatumia Scania,Volvo Iris bus etc etc.


Haya Bana tumekuelewa mkuu, ila hili basi ni mfano wa wanayotumia ulaya ya magharibi. Kwa hiyo inatupasa tukubali ya kwamba Azam ni wanamapinduzi wa soka la bongo. Hongereni Azam kwan ni mwelekeo mzuri huo.
Mnukuu
Guest
0Guest2014-02-05 08:15#4
waazmen taifa staz ck m1 m1
Mnukuu

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Uchambuzi wa Soka

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

mjengwaapp_copy_4d310.jpg

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Wanakijiji

BLOG SHABIHANA