We have 325 guests and no members online

Global Education Link

Picha za uchi zamponza polisi wa kike

wp-amisa 4582c

Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemfukuza kazi askari wake wa kike, WP Amisa, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Polisi Magomeni kutokana na utovu wa nidhamu.

Kamanda wa Kanda hiyo, suleiman Kova alisema jana hatua hiyo imefikiwa baada ya askari huyo kukiuka maadili ya jeshi kwa kitendo chake cha kupiga picha za uchi zilizoonekana katika mitandao.

"Jeshi halitasita kumchukulia hatua askari mwingine atakaye.

chanzo: HabariLeo

HEADER

Guest
+4Guest2013-06-20 01:55#1
ivi 2najtmba kam watumishi wa uma ni kioo cha jamii!
Mnukuu
Guest
-3Guest2013-06-22 20:27#2
ww askari wa kikuma
Mnukuu
Guest
+3Guest2013-06-27 23:30#3
huyu alifanya hivyo bila kuangalia upande pili wa shilingi
Mnukuu
Guest
+3Guest2013-07-01 23:35#4
Huyo polic kicha au
Mnukuu
Guest
-4Guest2013-07-02 12:09#5
jamani acheni ulimbukeni kama umaharufu huwaautafutwi kihivyo
Mnukuu
Guest
+1Guest2013-07-03 17:36#6
Huyo anakichaa mpelekeni kwenye vipimo vya akili.
Mnukuu
Guest
-1Guest2013-07-03 17:40#7
Huyo ni kichaa harafu ni mshamba
Mnukuu
Guest
+2Guest2013-07-04 06:07#8
Kwa kweli Tanzania inapotea,kama mambo machafu yanafanywa na vyombo vya dola,nani sasa atakuwa msaada na mlezi wa jamii? Apewe na adhabu ya zaidi huyo.
Mnukuu
Guest
0Guest2013-07-04 06:07#9
Kwa kweli Tanzania inapotea,kama mambo machafu yanafanywa na vyombo vya dola,nani sasa atakuwa msaada na mlezi wa jamii? Apewe na adhabu ya zaidi huyo.
Mnukuu
Guest
-1Guest2013-07-04 23:57#10
kazi yake hakumutosha nin
Mnukuu
Guest
-1Guest2013-07-12 07:12#11
huyo askari ni changudoa. kama sio! mpelekeni muhimbili kitengo cha waathirika wa dawa za kulevya!
Mnukuu
Guest
0Guest2013-07-15 11:49#12
noma sana
Mnukuu
Guest
0Guest2013-07-19 11:53#13
Hiyo lyfstyl yake, huyo kaonesha uch wake na si wa m2 mwingine, usihukum kwan nanyi pia mnamapungufu yenu.
Mnukuu
Guest
-2Guest2013-07-22 06:07#14
Huyo afungwe tu maana ni kahaba
Mnukuu
Guest
-1Guest2013-07-27 08:26#15
Huyo sio polici
Mnukuu
Guest
0Guest2013-08-03 02:24#16
kweli dunua imeisha
Mnukuu
Guest
0Guest2013-08-03 02:25#17
kweli dunua imeisha
Mnukuu
Guest
0Guest2014-02-17 12:50#18
mwacheni kwan naye anatangaza biashara yake..?
Mnukuu

Tuma Maoni


Security code


Anzisha upya


Karibu Mjengwablog

Tafuta Habari

Nafasi za Kazi & Masomo

Prev Next

We are Hiring - Senior Web / Mobile Deve…

As we are expanding our operations , W...

Soma zaidi

Job Vacancy: Business Administrative Ass…

The primary role of the business admin...

Soma zaidi

JOB: Sales and Marketing person for sell…

BANIZ SAFARI is one of the project ava...

Soma zaidi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJI…

  Jumla ya Walimu wapya 36,021 a...

Soma zaidi

Nafasi za kazi - Web Developers

We are looking for a talented web deve...

Soma zaidi

mjengwaapp_copy_4d310.jpg

Video Gallery

Kwa video za matukio mbalimbali yanoyotokea Tanzania.

bshyera11_ba222.jpg

Smartads

 

Maoni ya Wanakijiji

BLOG SHABIHANA