We have 260 guests and no members online

WAZIRI WA ELIMU PROF. NDALICHAKO AZINDUA BODI MPYA YA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA)

Posted On Tuesday, 07 March 2017 19:23 Written by
Rate this item
(0 votes)

1

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako (kulia) akielekea kwenye ukumbi kwaajili ya kuzindua Bodi mpya ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) leo jijini Dar es Salaam (kushoto) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA ) Graceana Shirima .

2

Wajumbe wa Bodi ya Elimu Tanzania (TEA) wakiwa wamejipanga kumpokea mgeni rasmi Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) leo jijini Dar es Salaam.

3

Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)  Profesa. Maurice  Mbago akizungumza.

4

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA ) Graceana Shirima  akizungumza wakati wa uzinduzi huo.

5

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na wajumbe wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) leo Jijini Dar es Salaam wakati akizindua Bodi hiyo mpya (kulia) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA ), Graceana Shirima na kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)  Profesa. Maurice  Mbago

6

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)  Profesa. Maurice  Mbago mwongozo wa kutekeleza majukumu ya bodi  mpya.

789

Wajumbe wa Bodi ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na watendaji wa Mamlaka hiyo wakishuhudia uzinduzi huo.

1011

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako  akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na watendaji wa Mamlaka hiyo.

Picha zote na Philemon Solomon-Fullshangweblog

Read 373 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Maji