We have 73 guests and no members online

Bongo Hapo Zamani: Mrema Alikuwa Tishio Uwanjani!

Posted On Saturday, 12 August 2017 20:00 Written by
Rate this item
(0 votes)

Image may contain: drawingIlikuwa ni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 1995. Enzi hizo, kwa CCM kumzuia Mrema ilibidi beki wa kuaminika wa CCM ( Julius Nyerere) aruke nae kwa miguu miwili. Ilikuwa ni zaidi ya daruga. Leo hii Mrema anaposema ana uzoefu wa mikikiki ya ' Mambo Ya Ndani' asibezwe wala kupuuzwa!
( Katuni ya maktaba ya mjengwablog)
Maggid, 
Iringa.

Read 86 times

Add comment


Security code
Refresh

Tafuta Habari

Blog Shabihana

Znateli